Search results

  1. Joss

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    mkuu Nelson Jacob lushasi njoo uendeleze uzi wako, umekaa kimya muda mrefu, sasa member wamebaki na mabishano na kashfa. Maana ya uzi inapotea.
  2. Joss

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Unataka kujua na kusaidika, au unaweka msimamo wako. Kama lengo lako ni kujua, unaweza kuelezwa hatua kwa hatua kimaandiko juu ya hoja zako zote. Kama ni kuweka msimamo, itakuwa vigumu hata kama malaika ashuke akueleze.
  3. Joss

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    1Timotheo 6:15-16 " .....yeye aliyehimidiwa Mwenye uweza peke yake, Mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana 16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, emekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa, wala hakuna mwanadamu aliyemuona wala awezaye kumuona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina"
  4. Joss

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Huu uzi sasa unaenda taratibu mno.
  5. Joss

    Kwa mujibu wa Biblia, unaweza kujikuta wewe ni mmoja ya watu ambao Mungu aliwakataa hata kabla hawajazaliwa

    Ili kuwasaidia wale wanaoweza kupotoshwa na bandiko lako,.. Walio wa Mungu ni wale waliouacha uovu, kama ukisoma mstari mzima 2Timotheo 2:19, imeandikwa "Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake, Na tena kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu"...
  6. Joss

    Jeshi la China lachangia amani na usalama barani Afrika

    Mada zako nyingi kama si zote ni kuisemea China mambo chanya. Yamkini upo kipropaganda zaidi katika mtandao huu.
  7. Joss

    Tunaonewa sana

    Sasa wewe umeshatambua kuwa ni mfugo na unasubiriwa kuliwa, unachukua hatua gani? chomoka nje ya banda ukimbie.
  8. Joss

    Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

    Hapo ndipo ulipoonesha kuwa hata ukipewa jibu hutaridhika, kwa sababu unaona bibilia inaingiza watu chaka, na wanaopeperusha watakujbu kwa mujibu wa bibilia. Kwa namna nyingine naona hukuuliza kupata jibu ila kuonyesha itikadi yako ya kiimani dhidi ya bibilia na Israel.
  9. Joss

    BBC: Jeshi la Msumbiji limemkamata Mtanzania ambaye ni kiongozi wa majihadi

    We ulitarajia awe raia wa nchi gani? Uovu ni wa mtu mwenyewe, hauhusiani na utaifa wake.
  10. Joss

    Kero: Baa ya La Patrona, Nkuhungu - Dodoma, inapiga muziki usiku kucha

    Mbona hasira sana, au na wewe ni mmoja wa kupigia watu kelele usiku?
  11. Joss

    Kero: Baa ya La Patrona, Nkuhungu - Dodoma, inapiga muziki usiku kucha

    We ndo unaona pesa ni kila kitu, ukipata unasumbua na wengine.
  12. Joss

    Kero: Baa ya La Patrona, Nkuhungu - Dodoma, inapiga muziki usiku kucha

    Ningeandika uzi kuwa sina hela, inaonekana huna uelewa.
  13. Joss

    Kero: Baa ya La Patrona, Nkuhungu - Dodoma, inapiga muziki usiku kucha

    Kuna hii baa ya La Patrona, karibu na kanisa la Katoliki, Nkuhungu, Dodoma. Iko vizuri kimazingira ila inatupa kero wakazi wa jirani. Inapiga mziki mnene kila siku kuanzia mida ya saa nne hivi hadi saa kumi hivi usiku, tena yupo na DJ anapiga kelele mno. Kuna uzi uliletwa siku chache zilizopita...
  14. Joss

    Baa zilizopo jirani na Kanisa Katoliki Nkuhungu ni kero kwa kupiga muziki usiku mzima

    Hata sasa wapo wanapiga, hawa jamaa huwa wanafungulia mziki sijui wanaenda kulala, si weekend si weekdays, hadi saa tisa kumi usiku bado ni kelele tu. Viongozi wamefumbia macho.
  15. Joss

    Nateswa sana na jini mahaba

    Nikupe ushauri utakaomaliza shida yako, majini, mapepo na roho zote za shetani huwatesa watu pale wanapokuwa nauhalali. Dhambi humpa uhalali pepo kumtesa mtu. Ukimwamini Yesu, unasamehewa dhambi zako na zaidi unapewa uwezo wa kuishi maisha matakatifu (uwezo wa kushinda dhambi). Unapoombewa...
  16. Joss

    Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Naomba uniongeze kwenye tag list mkuu Nyenyere
  17. Joss

    Natafuta kazi ya ukalimani wa Kichina

    Kuna kampuni inahitaji mtu kama wewe, ninampa namba yako atakuchek.
  18. Joss

    Natafuta kazi ya ukalimani wa Kichina

    Sawa, pamoja.
Back
Top Bottom