Search results

  1. F

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    NHC wanampa kiburi
  2. F

    Je wajua ‘Ayam Cemani’ ndiye Kuku wa thamani ya juu Duniani?

    Yaani binadamu weusi wanatubagua lakini kuku wanauzwa bei hio..wazungu bana kumbe walitakiwa na sisi tuwe na thaman sana..
  3. F

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Unatakiwe uvae kiheshima..pale sio double tree,sio hivyo ulivyokwenda..mama hazikwi na pensi bana..mbona hapo hakuna hata mmoja alievaa kaptula..au ww ndio ulitaka wakujue kama unatoka downtown
  4. F

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Na kwavile tumekupa ukweli naona utakimbilia kuliremba hilo kaburi ili upate picha za kuja kuringishia..
  5. F

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Tutaaminije?usidanganye hapa ulimtelelekeza for two years data zako zipo ulikwenda mara moja tuu,na kwann usimchukue downtown ukampeleka regency,hindu mandal au agakhan?why umwache kijijini?na ww ulivyo na sifa wallah ungempeleka regency au agakhan unge-attach risiti hapa ila huna ujanja huo?hio...
  6. F

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Tunaomba picha ya kaburi basi maana unajisifia walikuchangia pesa nyingi so tunataka mrejesho wa kaburi ili tuone linaendana na hadhi yako?
  7. F

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Alimuona mama yake ni wa duni sana.,akaona aibu kuwapeleka kijijini kwao..ila ukisikia alivyomtenga mama yake huyu wakati anaumwa ungezidi kumtoa maanani..miaka miwili mama yake anateseka na maradhi hana hata hela ya kwenda hospital ya kata yeye anapiga selfie na mbebez nassra international..ni...
  8. F

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Lemutuz mama hazikwi na pensi nyanya..wallah hizi dharau..na kumbe aliumwa miaka miwili ukamtelekeza wewe unapiga selfie na david mosha tu mjini..kwanini usimchukue ukamuuguza..au ulimuona hapigiki selfie..ila pole sana bro kufiwa na mama sio jambo la mchezo japo wewe ulikwenda na pensi nyanya...
  9. F

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Kweli wewe..yaani kweli.....,ungekwenda na chupi basi kama coz bible haijasema..yule ni mama yako kijana..ulimtenga wakati wa maisha yake basi hata amefariki unamdharau kwa kumwendea na pensi nyanya?
  10. F

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Degree tatu anabeba viatu?mimi moja tu wallah boss wangu simbebei viatu labda aniombe tena hapo nitajifkiria..wallah hizi pesa zitatupeleka pabaya..bora upate kidogo ila ukiwa umeridhika utaishi maisha mazuri kuliko huyu anaesumbuliwa na stress za maisha
  11. F

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Lemutuz usidanganye watu wewe hata bure ungekwenda kwa kupenda sifa huko,umeumbuliwa na yule dada mpaka nakuonea huruma wallah..then lemutuz eti ni kweli ulikwenda kwenye mazishi ya mama yako na pensi nyanya?maana kama ni kweli basi kuanzia leo nakuita LE MBURULAZZ maana itakua ni kituko...
  12. F

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Huwezi kuwa na mtoto kama mimi lemutuz maana mimi nina akili darasani ..hata tukocompare vyeti hapa kuanzia O-level, A-level mpaka chuo wewe hunikamati kwa lolote,maybe kwa mashauzi ndio ckuwezi,na hao watoto ulionao wamebebwa na mke wako aliekutaliki na huna right hata ya kuwaona unaishia...
  13. F

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Haya mkuu basi ni unblock ili nikuongezee likes maana umenifanya naumwa kutoona live talk show..yule kimambi mnajuana anasema wewe ni ndugu yake so nawaachia wenyewe..
  14. F

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Yaan mimi kama angekua baba yangu huyu ningemkana,yaani wazee wa umri wake wanastaafu kulea wajukuu eti yeye anajitia king of social media..anajibaraguza ila maneno yanamuingia..
  15. F

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Nakufatilia ndio maana bila pumba zako nakua cpati la kucheka, BIG CELEBRITY anabebeshwa viatu na kutolewa mbio vile,na yule mke wa mzungu kakuumbua kweli maana lile kaburi ulilolicrop amejua umelipata wapi..then kuzaliwa nje ya ndoa sometimez watoto wanakua kama wewe miaka 56 bado hujajitambua
  16. F

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Kama una61 natakiwa nikupe heshima yako,Na kwanini uliniblock instagram hahaha,kwanini hupendi challenge mzee
  17. F

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Miaka 56 ni mingi sana mkuu..ukibishana na watoto wako humu unajishushia heshima..ila mkuu kwa misifa yako ww si kubebeshwa vuatu..huko marekani ulikua unafanya nn sasa mpaka unabeba viatu na umri huo,kama bongo unabeba viatu huko marekani ulikua unafanya kazi gani?monchwari au?au kusafisha maiti?
  18. F

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Huyu ni mbeba viatu wa diamond anaitwa lemutuz
  19. F

    Msaada wenu wakuu, nimekwama kujilipia ada

    mimi nitampa 50 pia,nitampa leo leo
Back
Top Bottom