Search results

  1. Wayne

    Mourinho vs Guardiola: Kocha Bora vs Kocha Mwenye Bahati

    Ndugu yangu mtoa mada, Pep alichukua timu kutoka kwa Frank Rijkaard siyo Cluff
  2. Wayne

    Have you ever loved someone apart form your husband/wife?

    Muanzisha uzi hilo suala hutokea na usijali haupo peke yako Usiniulize nimejuaje kwamba mhusika ni wewe Jambo la msingi, usimvunjie heshima mumeo ktk baada ya kuingia kwenye huo ulimwengu Wahenga walisema, "mwanangu kuwa uyaone" ndiyo hayo sasa Though ni mtihani wenye hatari nyingi na kubwa
  3. Wayne

    Mwenye i phone 6

    Bei ya iphone 6 64 GB ni 2.5 millioni, mpya, ongeza hela
  4. Wayne

    Mrejesho: Maneno ya kejeli ya mume wangu

    Ndoa ni taasisi takatifu. Kizazi hiki hakifuati taratibu za kuingia na hata kuishi kwenye ndoa Ndiyo maana tunayashuhudia yote haya
  5. Wayne

    Nasumbuliwa na maumivu ya korodani, nini tatizo?

    Maumivu ya korodani could be okaitis, though go and make a complete test Pole
  6. Wayne

    Kuna 'vigari' mwanaume hutakiwi kuendesha by the way

    Also look at it from another angle as well....ni dalili ya kuvimbiwa...watu wanalalamika gharama za mafuta na maisha kwa ujumla zimepanda wewe unakuja na majivuno... Uzuri ni kwamba watu wa aina yako huwa hamdumu katika gemu...muda si mrefu hata kazi unaweza kupoteza kutokana na kuamua kukiuka...
  7. Wayne

    Mwanamke ameniibia pesa na kuficha kwenye makalio yake

    Hiyo harufu kwetu wengine inaongeza mzuka....tunatembea na viberiti..."wazee wa viberiti"...unavutia stimu...ishh... mtoto bikra huyu:smile-big::smile-big: Usikufuru...hakuna kitu kinaitwa mavi:nono::smile-big::smile-big:
  8. Wayne

    Upweke umenichosha

    CHAPUTA ndiyo mpango mzima. Madiba alikuwa mwanachama:smile-big::smile-big:
  9. Wayne

    Upweke umenichosha

    Aisee, nimeipenda sana hiyo. I concur
  10. Wayne

    Kitabu cha Historia ya harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika kimewasili nchini

    Dkt Mohamed, weka softcopy hapa pia! kama ile ya kwaheri ukoloni, kwaheri uhuru!
  11. Wayne

    Humphrey Polepole ni nani?

    Ni dhahiri kwamba Ndugu H. Polepole ameonesha uwezo mkubwa katika kufikiri na kujenga hoja. Ingawa kwa wanaomfahamu wanasema ni mtu mwenye uwezo tangu akiwa shule na mahala pengine alikopita, lakini mimi naamini kwamba kuwepo kwake na kufanya kazi kwa karibu na kujifunza kutoka kwa watu kama Dkt...
  12. Wayne

    "Tume ya Warioba yaivua nguo Serikali"

    Nimeitafuta kwenye youtube nimeikosa......naihitaji kwa kweli
  13. Wayne

    "Tume ya Warioba yaivua nguo Serikali"

    Video yote, mwanzo mpaka mwisho
  14. Wayne

    "Tume ya Warioba yaivua nguo Serikali"

    Mtu awaye yote atakayeweza kupata ile video ya mdahalo wa jana, naomba ailete hapa, pliiz Mdahalo wa jana ni muhimu tukawa na nakala
  15. Wayne

    Bosi wa EWURA akutwa amefariki hotelini

    ......you have no soul......
  16. Wayne

    Ajitoa uhai kwa simanzi ya kumkumbuka mkewe

    Inakuwaje hii: What if amemfuata mama john huko aliko kwa lengo la kuendeleza kipigo na dhuluma nyinginezo......
  17. Wayne

    To be honest, nikilala na mwanaume asiye na hela sitosheki

    Siyo kuvutika tu...utanasa kabisa...lol
  18. Wayne

    Nimwambie au ninyamaze? Nimechanganyikiwa

    Changamoto za maisha zinahusika sana hapo....mahitaji ni makubwa kuliko kinachopatikana
  19. Wayne

    To be honest, nikilala na mwanaume asiye na hela sitosheki

    Hilo la kueleza historia yako kwa uwazi huo, vilevile ni ishara ya kujitambua...hongera...
Back
Top Bottom