Utabana na bado maisha yatakupiga tobo kwa kipato hicho pekee. Hapo jitahidi zaidi kuongeza kipato kuliko kubana matumizi. Fanya kazi za ziada kazini kwenu, fanya kazi nje ya kazini kwenu, fanya biashara na kadhalika. Vinginevyo hakuna kitu. Wazazi wako wataishije kwa hiyo Tsh 40,000 kwa mwezi...
Kwa wewe mwanamke na mtaji huo unaweza kupoint nguo na kuuza kwa watu wenye hela (People With Money). Nunua viguo vya Tsh 300,000 hadi Tsh 500,000 vya kuanzia then pesa nyingine iwe akiba na bajeti ya promosheni na matangazo. USIKOPESHE MTU, HATA MAMA YAKO ALIYEKUPA HUO MTAJI.
Usijistress sana...
Millioni moja miezi miwili? Unakaa hostel?
Anyway, karibu JamiiForums. Kijiwe cha matajiri.
Kutengeneza Tsh 200,000 kwa siku njia kubwa sana ni janjajanja tu na dili za udalali. Kama hauna aibu wewe saidia kwenye udadali au mauzo kisha top up cha kwako then mshawishi mteja alipie fasta...
Kwa sasa mleta mada hujui business model ni nini.
Kwa kifupi ni kwamba business model ni namna gani biashara yako inaleta thamani kwa wateja na kukupa mapato na faida. Mifano rahisi sana ni:
1. Utengenezaji (na Uuzaji) wa bidhaa
2. Usambazaji wa bidhaa
3. Uuzaji wa bidhaa kwa bei ya jumla
4...
Leo kutokana na hizi mvua pamoja na kuwahisha pesa kwenye akaunti nikaona nihamishe Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda akaunti yangu ya benki, Equity Bank. Mweeeeeee...! Nakuta ada ni Tsh 5,000 kwa hako ka muamala.
Hivi mbona ni kama hatuko serious na mapinduzi ya kiteknolojia? Moja kati ya...
Daahhhh nikiangalia jinsi ambavyo nikishika Millioni 1 inavyoyayuka kama barafu ndani ya wiki 3 hadi 4 wewe hiyo laki 8 nakuonea huruma kwa kweli. Ila kwa kuwa wewe sio mimi na mimi sio wewe basi nakuombea dua ikidhi mahitaji ya mwanzo wako wa maisha. Nakutakia kila la kheri!
Sasa kwa...
Kwa hao wa mwilini nenda hospitali onana na daktari atakushauri utumie dawa inaitwa Scaboma Lotion/Cream. Then wale wa kwenye nguo na mazingira mengine tumia sumu ya wadudu wanaoruka na wanaotambaa au piga maji ya moto yaliyochemka kabisaaaaa.......
Jamani eeehhhh kutengeneza dawa sio kupika visheti. Waacheni watu walio na mitaji serious watafanya hiyo kazi, sisi tutaendelea kununua hivi hivi.
Kwanza mtaji wa kutosha kumeet standards (Good Manufacturing Practice/GMP) ni mkubwa sana. Waafrika wengi hawana umoja na kuorganize serious...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.