Search results

  1. C

    Waandishi wa Habari Tanzania

    I can understand, you have to conceal your profession for obvious reasons but you sound like a journalist. If writing is what makes you survive, better be good! A pen is mightier than the sword...
  2. C

    Waandishi wa Habari Tanzania

    You will conceal your profession for obvious reasons but you sound like a journalist/reporter/whatsoever may be. It doesn't matter. Bearing in mind that a pen is mightier than the sword and it's what makes you survive, better be good.
  3. C

    Waandishi wa Habari Tanzania

    You will conceal your profession for obvious reasons but you sound like a journalist. A pen is mightier than the sword and if you agree it is what makes you survive, better be good!
  4. C

    Waandishi wa Habari Tanzania

    This is a forum where everyone can simply post his/her views. The most important thing from where I stand and probably most members is the fact that Jamii Forum like such forums around the world is dedicated to keep us thinking, questioning, exploring new ideas, learning more and spending...
  5. C

    TICTS wagoma!

    Mzee amini usiamini mambo haya ni ya kweli, yafanyie kazi utajua undani wake. Kuna jamaa mmoja anaitwa Chagama yeye ni kati ya waratibu wakuu wa zoezi hilo. Unataka mpaka upewe jina la kampuni waliyoiandaa nini?
  6. C

    TICTS wagoma!

    Sio kweli hakuna mgomo wowote Ticts tena sasa hivi hata msongamano umeisha watu wanapiga kazi na kawaida. Kwa kuwa tayari tuna negative attitude kwa Ticts kila kitu ni rahisi kuonekana kweli...Halafu pia tunahitaji kidogo elimu kuhusu mambo ya meli maana siku hizi kuna waandishi wa habari tena...
  7. C

    Waandishi wa Habari Tanzania

    Hivi ni kwanini tusianzishe mjadala kupambana na uandishi uchwara??? Fani ya uandishi hapa nchini imepoteza sana heshima yake kutokana na mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukosefu wa waandishi wenye taaluma ya juu (elimu ya chuo kikuu angalau), malipo hafifu na mengine mengi lakini cha...
Back
Top Bottom