Search results

  1. Terminator

    IKULU, DAR: Mama Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Lazima mambo yawe balanced. Gender, Imani, ubara. nk
  2. Terminator

    IKULU, DAR: Mama Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ufafanuzi kidogo Sielewi kwanini mnaita serikali ya awamu ya Sita! Rais na Makamu wake waliingia pamoja kuongoza serikali ya awamu ya tano. Rais amefariki hivyo Makamu amekuwa Rais. Kwenye rekodi tuna kuwa na Rais wa Sita wa awamu ile ile ya tano.
  3. Terminator

    Duniani Kuna Imani zaidi ya Moja?

    Kuna tofauti Kati ya neno “faith” na “beliefs”. Pamoja na uelewa wangu mdogo wa mambo ya kidini na elimu dunia. Binafsi fikra zangu huteseka sana kuhusiana na mapokeo ya kiimani. Imani ya kuamini kuwa ipo nguvu inayotuweka duniani naamini 100%. Neno linalofuata kwangu. Je! Ni lazima kuwa na...
  4. Terminator

    AJALI: Lori la mafuta lagongana na basi la Burudani uso kwa uso Soni, Tanga

    Hivi barabara ya mombo - lushoto kwa lori lenye trailer linaweza kupita? Maana barabara hiyo ni nyembamba na ina kona nyingi sana!
  5. Terminator

    Turejeshe nchi yetu Tanzania!-Hotuba ya Mzalendo Zitto Kabwe

    Thanks masai dada, nimekusoma
  6. Terminator

    Turejeshe nchi yetu Tanzania!-Hotuba ya Mzalendo Zitto Kabwe

    Ufafanuzi wakuu. Cheo cha kiongozi mkuu kimenichanganya kidogo maana tayari ACT wana Mwenyekiti na Katibu. Kiongozi mkuu ndio rais wa chama au!
  7. Terminator

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    nimekuwa navutiwa sana aina ya uwajibikaji binafsi wa Kinana, amekuwa na mtu asiyependa kujikweza katika kutimiza majukumu yake, ikiwa ni pamoja na kushiriki shughuli za wananchi moja kwa moja, kama mnavyojua kuna viongozi ambao huwa wanaigiza kuonekana ni watendaji ilhali hawawezi, pia viongozi...
  8. Terminator

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    jamani naomba kujua kutoka kwa wadau, maana bado nafikiria kati mambo mawili ni lipi bora kati ya kununua nyumba zilizo katika miradi ya taasisi kama NHC, NSSF nk. au bora kujenga, maana shida ninayoipata bei zinazotajwa humu za ujenzi zinawiana na bei za nyumba zinazouzwa, na la msingi maeneo...
  9. Terminator

    Msaada kuhusu mikopo ya wanafunzi elimu ya juu

    Wakuu nahisi naingizwa mjini na ndugu yangu ambaye nilijitolea kumsomesha Tumaini, alijiunga na kuniletea joining instruction ikinionyesha kiasi cha ada na mahitaji mengine, ila baadae nimekuja kugundua kuwa ali-apply mkopo HESLB na kupata na wala hakunipa taarifa, kwahiyo nikawa natoa ada kama...
  10. Terminator

    Naibiwa gari na agent?

    Jamani mimi nataka kuagiza gari uk,na jamaa wamenitumia proforma invoice, niwalipe,sasa nakwazika na usalama wa hela yangu isije ikawa kilio cha mwaka, wanavyoeleza benki za ulaya kwa hela zote zinzoingia lazima udhibitishe unatumia kwa shughuli gani, kwa maana ya kuwapelekea document.
  11. Terminator

    Haya tena kwa wale wanaotaka mabasi toka german mercedes benz luxury bus

    gari za injini nyuma katika mazingira yetu hazifai kutokana na hali ya barabara zetu sehemu kubwa ni milima na cooling system yake haipo vizuri sana. wengi walijaribu kuzinunua kipindi cha nyuma kutoka kwenye scania, mitsubishi,volvo lakini kwa sasa hakuna hata moja lililopo njiani sasa.
  12. Terminator

    Ushauri kuhusu ugonjwa wa kisukari

    Wana jf naombeni kujua kutoka kwenu maendeleo ya tafiti ya kupata tiba ya kisukari, maana ukimwi wataalamu wamejitahidi sana, ndio maana zamani mtu akipima akipewa majibu kuwa ana ukimwi watu walikuwa wanajinyonga ila sasa kuwepo kwa arv imekuwa mkombozi kwao. Moja ya tiba ambayo watu wengi wa...
  13. Terminator

    Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    Ndugu wadau, naomba kujua maendeleo yaliopo sasa katika tiba ya sukari duniani, maana naona tafiti nyingi zimelenga kutafuta tiba ya ukimwi ila maradhi mengine ambayo ni tishio kwa jamii hayapo wazi. Wadau naomba kujua kutoka kwenu, maana asili ya ugonjwa wa sukari ni kongosho(pancreas)...
  14. Terminator

    Hivi kuna mahusiano kati ya umaskini na kukosa utu!!!!!

    nimekuwa nashangazwa sana na akili za watu kutokana na matendo ambayo binadamu hufanya, maana katika maisha kuna binadamu wameamua kuishi katika aina fulani ya maisha, mfano mwizi au jambazi, ushoga, mlevi wa kupindukia,na mambo mengine mabaya kama hayo ambayo watu hao ndio identity yao katika...
  15. Terminator

    Mnautaka muunganoooo...Hautuutaki!!!

    jamani naomba muangalie hali halisi ya mtanganyika anaeishi zanzibar kwa sasa hali anayokabiliana nayo ndio utaweza kufanya tathmini ya umuhimu wa muungano. 1.uchomwaji wa maeneo ya biashara mf.baa na maduka ya curio craft. mengi ya maeneo haya yanamilikiwa na watu wa bara.hakuna sehemu...
  16. Terminator

    Hivi ni kwanini huyu mama anajiita Dr. Mary Mwanjelwa?

    Siha high school ilianzisha A level mwaka 1992,mwaka 1982 kulikuwa na O level pekee yake wakuu,
  17. Terminator

    Kwanini NOAH (minbus) zizuiliwe!!?

    Serikali imefanya sahihi maana noah sio basi ni gari ya kifamilia zaidi,imehalalishwa kubeeba abiria saba tu,ila angalia kwa sasa idadi ya abiria inayobeba hadi kwenye buti,na katika mazingira ya kijijini abiria mwenye mzigo hawezi safiri. Kwakuwa hamna mahali pa kuweka mzigo,pia nauli zao...
  18. Terminator

    Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    Nimejiuliza maswali mengi sana kutokana na hoja iliyopo mezani,hawa wahindi na waarabu katika ubinafsishaji ndio wengi wao waliuziwa mashirika na viwanda mbalimbali ambavyo vingine vimekufa na vingine vimebadilishwa matumizi yake.pia hoja ya pili ni kuwa hawa jamaa tupo nao tu ila wanauraia...
  19. Terminator

    TBC na vyama vya upinzani, nini kinaendelea?

    yaani wajitu mingine bana,inapotosha watu ile mbaya,harrier yenyewe ni ya mtumba huwezi compare hata kidogo na magamba wenye anayenunua gari jipya kabisa la land cruiser gx,au vx,hela ya vx utapata harrier 10,sasa yupi ni fisadi?
  20. Terminator

    kichaga kigumu kuandika

    ote lanye,para shyindo,shyindo shyikupare!
Back
Top Bottom