Sehemu ya kuweka vyeti, barua na mazaga mengine utaikuta mwisho kama umeshamaliza kujaza zile sehemu za mandatory yaani zenye mark ya * nyekundu then nenda sehemu ya search job kwenye menu ya portal then chagua post unayotaka kuapply then itafunguka ndio utaona hizo sehemu za attachments nadhani...

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekumbusha kuwa hairuhusiwi huduma ya bweni kutolewa kwa wanafunzi wa elimu ya awali na darasa la kwanza hadi la nne, isipokuwa kwa kibali maalum kitakachotolewa na Kamishna wa Elimu baada ya kupokea maombi rasmi kutoka kwa mdau husika.
Taarifa...
Kodi nilipe halafu wapuuzi Fulani wafanye ufisadi kodi yangu unasikia tu mabilioni yamepotea bila hatua yoyote ni bora kuendelea kuwa janja janja kwenye kodi sababu wanaofaidika wachache wengi wanaumia, laiti TRA nguvu wanayotumia kukusanya kodi wangeitumia pia kukusanya na kuadabisha mafisadi...
Kwel jamani mnategemea transparency hapo if serikali yenyewe kupitia TRA ndo inayokusanya kodi so wanaweza kutangaza kiwango chochote wanachoona kinafaa kwa wadanganyika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.