Search results

  1. C

    Pres Obama's Trip to the Muslim World: A New Partnership

    "......When u leave in fear, u use racism as a form of defence." mmmh hii nayo imetulia. Psycologists mnasemaje hapo?
  2. C

    Pres Obama's Trip to the Muslim World: A New Partnership

    Unajua kumbe kusoma hoja za watu ukiwa kama observer ni vizuri sana. Nimefuatilia majibizano ya Mtoto na Nyani Ngabu kwa makini zaidi. Ila kilichonisikitisha ni kwamba mtoto ameshindwa kuelewa kuwa Nyani alikuwa akijaribu kuanalyse hoja anayoona ni sahihi anasema ok, ile ambayo si sahihi anatoa...
  3. C

    Nina wasiwasi na wataalamu tulionao kwenye wizara ya Elimu kuhusu Elimu zao

    Wasiwasi wako ni walimu kutotabuliwa kwa elimu zao nje ya fani ya ualimu au maamuzi ya wizara kutangaza ajira kwa watu sio professionals?
  4. C

    Nimeingia leo

    Nawashukuru sana wapendwa kwa michango yenu, sasa nimepata pa kuanzia. Pia nashukuru kwa kunikaribisha.
  5. C

    Nimeingia leo

    Wenyewe humu ndani: Kwa mara ya kwanza najitokeza ktk jukwaa hili nikiwa kama member. Nimekuwa nikisoma kwa mda mrefu sasa bila kujisajiri leo nimefanya hivyo. Hata hivyo, kabla ya kuanza kushiriki utowaji mawazo napenda kuomba ushauri kitu kimoja kutoka kwenu. Mimi ni graduate wa UDSM BA...
Back
Top Bottom