Search results

  1. K

    Mwenye kujua ajira za walimu zitatoka lini anifahamishe plz

    Danadana kibaooo! MCC inathari. Fungua www.tamisemi.go.tz, kisha pakua hotuba yao.Nenda page no_27 paragraph ya2.utapata jibu japo mmmh! itakuwa chenga tu.Jipeni moyo sitawaangusha.
  2. K

    Nimechoka kusubiri ajira za walimu

    Mheshimiwa Spika, mnamo mwezi Mei 2016, Serikali inatarajia kutoa ajira za walimu wapatao 40,000 ikijumuisha wa cheti, Stashahada na Shahada ili kukabiliana na upungufu wa walimu uliopo katika shule za Msingi na Sekondari nchini. Zaidi ya shilingi bilioni 17...
  3. K

    Tetesi: Ajira za walimu 2016

    wengine wanahitimu wiki moja ijayo mei 2016,hawa ni certificates & Diploma...TEH TEH TEH TEH TEH
  4. K

    Msimamo wa Nape Moses Nnauye wanifanya nimchukie Magufuli

    Nape jipe muda wa kufikiri juu dhambi hii.
  5. K

    CHADEMA yaigaragaza CCM uchaguzi wa mwenyekiti wa kijiji Moshi

    fcm msijifariji na majibu,hali ya huduma kwa jamii ni tete,ajira vijana wa 2015 bado danadana ilihali mwezi ujao wale wa Diploma na certificates wanahitimu,KUNA VIJANA WALIKUWA UVCCM SANA,SASA WAMESOTA KITAA KUKOSA AJIRA NA WAMEGEUKA WAPINZANI.MADKT NI KERO KWA HOSPITALI ZETU,JAPO WAPO TU...
  6. K

    Kama hili la Spika wa Bunge ni kweli, huu ni ulevi wa madaraka

    Matumizi ya vyombo vya dola hayana tija kwa ccm.watu wanaona na kusikia.....MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA WALALAHOI....WAFANYAKAZI NA MASKINI WAKULIMA WANALIPA KODI,KISHA MNAFUJA KWA KUHANGAIKA NA CHADEMA KILA KUKICHA....2019&2020 IS LOADING....
  7. K

    Chuo Kikuu Dar es Salaam kinatia aibu

    Ila vyoo VYA udsm mmmmmh! nàogopa kuandika mmmmh!
  8. K

    Ni wenye akili tu wanaomwelewa Makonda katika hili!!

    mleta post hujui ulitendalo,huwezi MALIZA changamoto zinazowakumba walimu kwa kutaka wapande BURE daladala.MATATIZO ya walimu siyo KULIPA nauli za daladala.walimu walipwe stahiki zao,SIASA TU KILA KITU.UVIVU WA KUFIKIRI.
  9. K

    Dr. Bana: CCM Iheshimu Mfumo wa Vyama Vingi

    Duuuuuu! Bana kwa Mara ya kwanza ameongea hoja JAPO kapindishapindisha.Wasomi wetu na SIASA za kinafiki karne ya 21.
  10. K

    Kaimu Mkurugenzi wa jiji aahirisha uchaguzi wa Meya jiji la Dar es Salaam

    TAIFA LIMEKOSA WATU WENYE BUSARA.CCM ACHENI MAMBO HAYO.
  11. K

    Walimu wa sasa ni wavivu na walalamikaji tu!

    MSHUKURU MUNGU UPO MBALI NAMI..ningekunasa kibao. Jingalaowe!. KAFANYE UTAFITI KAMA HUTA GHAIRI NA KUISHIA KUHUZUNIKA MWENYEWE BADALA YA KUKUSANYA DATA....SHULE ZA BINAFSI HAZINA UPUNGUFU WA WALIMU,ZINAVITENDEA KAZI,WALIMU WANAMORI NA KAZI SIYO MAISHA YA MASHAKA.....KUNA VITU SIWEZI ANDIKA...
  12. K

    Walimu kuomba wapandishwe madaraja wakati shule zao zimefanya vibaya ni halali?

    kijana umekosa CHA kuandika kabisa,walimu wanachangamoto lukuki. 1.KUNA SHULE hazina walimu kabisa hata kukidhi nusu ya wanaohitajka 2. mazingira na miundo mbinu isiyorafk kwa wanafunzi na walimu. UKIONA VYAELEA VIMEUNDWA,SHULE ZA BINAFSI KUFANYA VIZURI KUNA MAZINGIRA HAYO RAFK NA UKITAKA...
  13. K

    Waziri Simbachawene awasimamisha kazi Wakurugenzi wa Halmashauri wanaodaiwa kuhonga wapate Hati Safi

    halimashauri AMBAZO wakurugenzi walishindwa kabisa GOLI la mkono ni MWENDO WA KUFUKUZWA NA VITISHO.TUNDUMA, MBEYA MJINI,KINONDONI na huko kwingine. AFU MAWAZIRI WANAPENDA PROMO YA MEDIA,MKIWARUDISHA HAMUITI VYOMBO VYA HABARI MFANO MKURUGENZI ALIYERUDISHWA KINYEMELA ILEMELA.
  14. K

    Boss Bima ya Taifa ya Afya (NHIF) jiandae kusimamishwa kazi!

    loooh! WAMULIKWE MAJIPU hawa NHIF.TABIA YA KUNIPANGIA WATU WA KUFAIDIKA NA MAKATO YA HUDUMA YAANGALIWE.PIA KAMA MWAJIRIWA KAMA HAJAJIUNGA NA HUDUMA KWANINI AKATWE? NAPELEKA MAJINA YA NDUGU WANAOPASWA KUFAIDIKA NA BIMA YANAKATA NA KUSEMA HAYA TOA AFU MWAKA MZIMA NAKATWA ILIHALI SIJAPELEKA...
  15. K

    Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Mikopo na wengine watatu wasimamishwa kazi

    UKWELI BODI YA MIKOPO UCHUNGUZI UNAHITAJIKA SANA,PESA INAPIGWA MNOOO.MAOFISA MIKOPO WA VYUO WAMULIKWE NAO NI HATARIII,MFUMO WA KUFUATILIA PESA TOKA BODI KUJA KWA WALENGWA UIMARISHWE,PESA INAFIKA CHUO NA KUWAFIKIA WALENGWA BAADA YA MWEZI,HII NI HUJUMA TU.
  16. K

    Huduma ya TANESCO kuwa bora ni ndoto ya Alinacha

    Nikisikia tu jina TANESCO,KICHWANI MWANGU NAPATA UJUMBE KUWA WAMEKATA UMEME. Hakuna CHA sos WALA CHA nin,JIPU HILI LA WAKUBWA UNATUMBUAJE.
  17. K

    UKAWA tishio: Wazuiwa kuzindua kampeni Uwanja wa Taifa

    Joto linazidi kupanda JUU YA hekaheka YA kuelekea UCHAGUZI mkuu 25. Oct. 2015.UMOJA WA VYAMA UKAWA UKIWA Umepanga kuzindua KAMPEINI zake uwanja WA TAIFA WA MPIRA NA KWA BAHATI MBAYA WAMEZUIWA,HIVYO KUZINDUA KAMPEINI zao pale mjengoni haitawezekana.
  18. K

    Dosari ya uandikishwaji wa kupiga kura Tanzania mwaka 2015 na Mustakabali wa Nchi

    Tume wasikubali kushiriki uovu wowote,dhambi hii itawasuta.haiwezekani nijiandikishe kwa shida leo majina hamna na hakuna hata elimu yoyote juu ya uhakiki wenyewe.
  19. K

    CCM na Mbinu za Daftari la Wakazi

    upinzani fanyen hma nimeona kwa macho yangu.,na wanatechnic Kali sana
Back
Top Bottom