Yaani hii kitu mie nachukia sana. Kwa mfano, Waziri Jafo anaambiwa kafanye uchunguzi, yeye anaagiza kutengua nafasi za wakaguzi wa ndani sijui nini...sasa amejiridhisha kwamba wamefanya ubadhirifu? Wakati mwingine kama ulivyoongea hapa Beatrice Kamugisha , unakuta matumizi ni halali, ila kuna...
Hakuacha ujumbe wowote, halafu unasema amejinyonga, nani kakuambia kwamba amejinyonga? Kwanini usiseme kwamba amekutwa ananing'i nia juu ya mti au dari, ili vyombo vya usalama ndo viseme kama alinyongwa au kujinyonga!
Mzee unateseka sana. Ulimponda Lowasa akiwa CHADEMA< karudi CCM Kimya. Hivyo hivyo kwa Sumaye & Co. Kwa nini unajifanya una uchungu sana na CHADEMA, wamekuomba uwahurumie?? Na kile kijarida chako cha CHECHE vipi cheche zimeisha??
Nimeona hii kitu kwenye twitter account ya mtu. Nimefuatilia thread haina majibu. Jamani inatia huruma. Wenye habari please help ili tuju, tujifunze au tusaidie.
Asanteni kwa mrejesho
Mkuu Guru Master , najaribu kutafuta hiki kitabu ili na wanangu wakisome sikipati. Unayo copy hata PDF uatach hapa. Mimi nilikisoma zamani, ni kitabu kinafikirisha sana! Nimejaribu kugoogle, ila naona tafsiri ya Afrikaans tu, na captions chache za kiswahili
Hahaa, zishamfikia salamu toka Kenya. Hata sasa anaweweseka. Si umesikia katangaza "ajira" 10,000 kwenye bomba la mafuta? Poor man! Ajira hazipo, na wajinga watajazana kuomba hizo ajira hewa! Chezea kick ya pikipiki kwenye tren weye!!!!
Mkuu, mbona sehemu ya 2-4 hazifunguki, au mie nakosea wapi? Naona link zinazofunguka ni kuanzia link ya 5 na ukiisoma inaonyesha kwamba kuna link zinamiss..
Ningekuwa na uwezo wa kulike mara nyingi ningefanya hivyo. Siamini kama unaweza kuongea jeuri mbele ya amiri jeshi mkuu wa kaliba ya Magufuli. Magufuli ni mtu ambaye anaweza amuua lolote juu yako. Naamini Lowasa analijua hilo, na kamchezea kijiti kihivyo. Hata wale Wawekezaji wa Accacia...
Ok , kutokujua kwamba huna akini pia ni tatizo. Sasa mie nakubali sina akili, njoo hapa Rock City Mall , - THE CASK, nikupe bia ili upate kujua mie nina akili nzuri tu, na nilikushangaa wewe ulipoacha kujadili mambo ya maana, kisa tu wewe ni poti wa Magu!!! nakujua sana Nyani Ngabu , siyo yule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.