Search results

  1. faabroz

    Kubadilisha kituo cha kazi (mpya) - Msaidizi wa afya

    Mimi msaidizi wa afya (MA) nataka mtu aje hospitali ya rufaa mkoa wa Mara (Musoma) mimi niende hospitali ya rufaa Songwe au Mbeya au Iringa Mawasiliano ni 0676 515 994- Tuma SMS tu
  2. faabroz

    Zabuni kutoa huduma mbalimbali serikalini mikoa yote Tanzania

    upo sahihi mkuu, lakini upungufu upo
  3. faabroz

    Zabuni kutoa huduma mbalimbali serikalini mikoa yote Tanzania

    OK watu wengi hawawezi kuingia kwenye mfumo kwahiyo sisi tunawasadia wanatupa hela kiasi kidogo tu cha fedha baada ya kazi elfu 50 (ili tulipie bandle na mawasiliano ya simu na moderm)- ila vocha na bundle ni tafrsiri tu kuwa malipo sio makubwa
  4. faabroz

    Zabuni kutoa huduma mbalimbali serikalini mikoa yote Tanzania

    Kama kuna mdau/Mzabuni anatakaa kutoa huduma mbalimbali Serikalini za (Vifaa vya Ujenzi, Stationary, Vinywaji, vyakula, vipuli vya Magari, Mifumo ya IT, n.k) kila mkoa-Tanzania kwa mwaka 2020/2021 ( *Tambua-bila kusajiliwa hutatoa huduma serikalini*) Kazi zimetangazwa na GPSA kupitia Mfumo wa...
  5. faabroz

    Anahitajika full technician Certificate/Ordinary Diploma in Civil Engineering

    Kampuni ya Ukandarasi iliyopo mbeya inahitaji. -Full Technician Certificate/Ordinary Diploma in Civil Engineering. -Lazima awe registered na Bodi ya Wahandisi yaan ERB -Ajira ni ya Mkataba wa miezi 4 hadi 6. -Uzoefu miaka mitatu nakuendelea wa kusimamia barabara. -Mshahara kulingana na Maelekezo...
  6. faabroz

    Mahitaji ya mashine ya kukoboa mpunga na kugrade

    Habari ya humu wana jamii Nahitaji mashine ya kusafisha mpunga na kuugradi madaraja maanne Supplier au dealer awe na maelezo ya kutosha na kukubali kufunga na kutoa maelekezo namna ya kutumia natanguliza shukrani sana Simu 0782 815994
  7. faabroz

    Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

    jamani nahitaji mkopo wa laki 1 online kama nitapewa najaza taarifa zangu zote. kama Luna taasisi ipo
  8. faabroz

    Mume mwenye sifa hizi anahitajika

    Mimi hapa namba ya simu nakupa pm
  9. faabroz

    Sehemu za kubarizi Mwanza usiku

    Nimekuja Mwanza nimekuja kupunga upepo na kuangalia sehemu nzuri ya kubarizi usiku huu /kwenye twiga niwasalimie kidogo ugeni nao kazi, lakini pia mchana maeneo gani mazuri.
  10. faabroz

    Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Sijui nikupe namba yangu nikupigie nikuelemishe kuhusu mahusiano, Ivi unadhani pesa ndo kila kitu. Mrudie Mungu ili aweze kukupa macho ya kuona umefungwa tayar Sent from my TECNO DP8D using JamiiForums mobile app
  11. faabroz

    Maombi ya ajira ya fundi umeme

    umesoma wapi chuo
  12. faabroz

    Miliki kiwanja kizuri chenye hati na kwa gharama nafuu.

    Bei kwa mita square
  13. faabroz

    Namdai ndugu yangu, sasa mwaka wa pili hajanilipa

    Usimkopeshe mtu hela utapata shida bureee, hiyoo pesa anza kuitoa kwenye mind sawa na kitu kilichopoteaa
  14. faabroz

    Natafuta partner(mbia) wa Civil proffesion tech au eng

    kama una whatsapp nipe no hiyoo tutachati huko
  15. faabroz

    Natafuta partner(mbia) wa Civil proffesion tech au eng

    umetuma namba ipi mkuu simu yangu mbona haina hizo call ulisosemaa
  16. faabroz

    Natafuta partner(mbia) wa Civil proffesion tech au eng

    piga namba simu tuongee acha ujinga wewe bwege ww na ukoo wenu pamoja na mzazi wako, post za nyuma zinahusiana na hii, hivyoo viroba usituletee hukuu, ndo maana na ukubwa wako wote unaishi kwa mamaako unalishwaa
  17. faabroz

    Natafuta partner(mbia) wa Civil proffesion tech au eng

    siku ukiacha utoto na kubomolewa nyuma utakuwa na akili, sio lazima kila kitu uchangiee uwe na hakili wewe. mpuuzi mkubwa hii ndo post yangu ya kwanza mwaka 2017, sikai mitandaoni kama wewe, nafanya kazi. sina njaa kama unavyofikilia wewe ni kazi nxuri hapa najitanua tu
Back
Top Bottom