Search results

  1. M

    Dili ya Kapombe Azam wizi mtupu, walipa 225M - Rage apiga 71M na Simba yaambulia 19M tu

    Kapombe Transfer Saga9, June, 2014 Blog, Ligi Kuu, News No comments Taifa Stars’ defender, Shomari Kapombe transfer is sure to go down as one of the most controversial dealings for many past and future seasons. His overseas trials and eventual transfer to France fourth division side, AS...
  2. M

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Mkuu mbona umejibu kwa kupanik as if hauko katika mud nzuri. Kwani kuuliza swali ni kuchonganisha? Kivi tunataka kukuchonganisha na serikali, Nilitegemea angalau ungetujulisha umma wa wapenda soka wa Tanzania ilikuaje au nini kilikuwa mpaka mchezaji akashindwa kupata HATI kwa haraka kuwahi...
  3. M

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Habari Mr PRESIDENT MALINZI Ok mr president kuna suala hili la mchezaji MWASAPILI wa MBEYA city kushindwa kusafiri na timu ya taifa kwenda Namibia kwa mechi ya kirafiki sababu ikiwa zinahusu HATI YA KUSAFIRIA {PASIPOTI}. Mkuu kabla hujajibu swali langu niseme kitu kimoja tuweke sawa..Yes ndio...
  4. M

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Mkuu Malinzi Habari yako Ok kuhusu huyo bwana mdogo wa copa coca cola hamuoni kwamba ingesahihi kwake kuitwa kwenye timu ya taifa ya vijana kani huko ndio ingekuwa kwake rahisi kucheza mechi nyingi zinazohusisha hiyo timu kuliko kwa umri wake kumpeleka moja kwa moja timu ya wakubwa , hapo kwa...
  5. M

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Habari mkuu nimekuelewa Kuna jambo moja niliwahi kuliskia ile tff iliyopita ikisema au kuliongelea pia nitaomba angalau maelezo yako kutokana na uzoefu wako '' ile TFF nakumbuka na nilishawahi kuwanukuu walisema kuwa leseni za uwakala FIFA inatakiwa kila baada ya miaka fulani im not sure kama...
  6. M

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Mkuu dfk kadito mawakala wanaotambulika na fifa toka tanzania ndio hao hao hata mi nimeona majina hayo hayo kwenye mtandao wa fifa
  7. M

    Natafuta soccer school nzuri kwa mtoto wangu iwe Spain,Ufaransa,Italy or South America

    Kwanza unatakiwa kujua taratibu zake ulaya academy nyingi hazichukui mtoto ambaye hasomi pia kuna suala la lugha pia
  8. M

    Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    BREAKING NEWS Mahakama kuu ya Tanzania imetengua maamuzi ya Chadma ya kumvua madaraka Zitto Kabwe. Judge amesisitiza sana umuhimu wa demokrasia na kuvumiliana inapotokea tofauti ya mawazo. Amesema, kila mtanzania anastahili kusikilizwa na kupewa nafasi ya kuamua atakalo bila kuvunja katiba ya...
  9. M

    Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    mkuu mbona umekuwa kimya ghafla vipi tena umepigwa na kitu kizito nini au kitu chenye ncha kali
  10. M

    Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

    Bwana Manyerere utuwekee hizo picha sio unasema tu soon naleta picha halafu huleti kitu hii sio sehemu ya udaku tunaomba uwe serious utupe habari
Back
Top Bottom