Search results

  1. M

    Uchaguzi wa Rais na wabunge vitenganishwe

    Nimekuwa nikiwaza mara kwa mara juu ya sababu ya nchi yetu kuwa tulivyo hasa kwa siasa tulizonazo. Nahisi tatizo kubwa kwetu ni kwa kuwa tunachagua watu ambao tunawapa dhamana ya kutuongoza kwa miaka mitano na kisha tunasahau. Kwa bahati mbaya, hakuna mwaka ama muhula ambao Rais ametoka katika...
  2. M

    Dikteta ni nani? Na kwanini tunamhitaji?

    Ninapoangalia namna "tunavyokaririshwa" maana za nani ni nani, na kwanini ni yeye na kwa manufaa ya nani na nani awe rafiki na nani awe adui yake nasikitika sana. Tumepangiwa kila kitu kwa tafsiri ya wenzetu ambayo kwa hakika ni kwa manufaa yao. Mandela alikuwa "mkorofi" ( na dikteta fulani...
Back
Top Bottom