Search results

  1. Strictly Syrup

    Diamond Platnumz kavurugwa?

    Chuki ni mzigo mzito sana. Travel light bro.
  2. Strictly Syrup

    LIL DURK: All my life

    DJ Bandz amesema Lil Durk hajawahi kulipia verse. Anyways, dude came a long way, he deserves his shine.
  3. Strictly Syrup

    Tuliowahi kuvuta bangi tukutane hapa

    Kwenye suala la uvutaji wa sigara bwege, watu wengi ni wanafiki. Mtu hajawahi kuvuta anasema ameshavuta, na anaelezea vitu ambavyo havitokei ukivuta bangi. Siku ukivuta bangi yenyewe, hurakuja kuzungumza hapa utapata curiosity, na utaquestion kil kitu ulichoaminishwa kwenye maisha yako . Kwa...
  4. Strictly Syrup

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Umependeza sana mamdogo... Unyama ni mwingi mwaisa.
  5. Strictly Syrup

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Madam naona retro Jordans kwa mguu. 😍😍
  6. Strictly Syrup

    Hii ndio Midundo (Beats) ya Hip Hop 50 Bora ya Muda Wote

    Future - 712PM Future - Codeine Crazy Key! - Love on Ice Lil Uzi Vert - 20Min
  7. Strictly Syrup

    Hii ndio Midundo (Beats) ya Hip Hop 50 Bora ya Muda Wote

    Timbaland, Keri Hilson and Sebastian - The Way I Are
  8. Strictly Syrup

    Hii ndio Midundo (Beats) ya Hip Hop 50 Bora ya Muda Wote

    Bro umemsahau Metro, ambaye amekula shavu kwenye movie ya Spiderman. 808 Mafia wamekimbiza sana 2010s.
  9. Strictly Syrup

    It’s a Boy

    Safi ndugu, kila la heri.
  10. Strictly Syrup

    Best of James Cameron movies

    Jamaa mkali sana ninachomkubali hetales his time na movie zake karibu zote ni revolutionary, nafanya mapinduzi kwenye industry kila kukicha... Maandalizi ya "The Way of Water" ilichukua zaidi ya miaka 10, walitaka kuirelease mapema lakini kutokana na Corona wakaona hawataweka kufanya theatrical...
  11. Strictly Syrup

    It’s a Boy

    Hahahah... mwite hilo jina atakuja kuwa mwenye busara sana maana majina yanabeba maana kubwa sana. Malezi mema mkuu, jitahidi uwe Baba kweli, uwepo wako utamjenga kujiamini na kuwa na maamuzi thabiti atakappkuwa mtu mzima.
  12. Strictly Syrup

    It’s a Boy

    Hongera sana Bwana Marshmello knows muite Hakeem ni jina la kiarabu linalotumika America, uarabuni linatumika kama Hakim, maana yake ni mtu mwenye busara na mwenye ujuzi wa mambo mengi.
  13. Strictly Syrup

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Looking good Madam.
  14. Strictly Syrup

    Ninatarajia kuanza kujifunza 3D. Ni software gani inafaa na inatumika zaidi kwa matumizi ya kiofisi na kibiashara?

    Salaam brothers and sisters, Ni jambo ambalo nimekuwa nikilipanga muda mrefu kuhusu kuanza 3D, lakini softwares ni nyingi, na nilitamani kujua ipi inafaa zaidi na itakuwa rahisi kutumia assets nitakazokuwa natengeneza kwa Adobe AfterEffects?! Natanguliza shukrani.
  15. Strictly Syrup

    Hamisa Mobetto: 'Nachukia wanaoniomba niwazalie Watoto’

    Sijui kama ni picha ama ndiyo muonekano wake but she sexy as phuck..
  16. Strictly Syrup

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    This the only thing I look forward to, after a long day of work.
  17. Strictly Syrup

    Kufunga 'PM' ni ishara ya kuwa mchoyo na mbinafsi

    Nigga you always stand out, you don't give a shit about fitting in, and thats the best thing about you.
  18. Strictly Syrup

    Kitu gani kilikufanya ukampenda sana mpenzi wako?

    Namuona MF Doom kwa avi, much respect mkuu. Madvillain.
Back
Top Bottom