Wakili kufanya consultation kwa Jaji kabla ya kupeleka shauri mahakamani sio jambo jipya.Inawezekana kwa kutegemea ukaribu wa Jaji husika na wakili japo kimaadili ya sheria hairuhusiwi. Kwa mtazamo wa kesi hii ilivyona mvutano wa pande mbili CDM na CCM hili linawezekana kabisa.Ushabiki uwekwe...
watu wakishafilisika kisiasa huwa wanadiscus personalities, udini na ukabila. Alichofanya Kabwe ni usaliti sasa apotelee mbali yeye na wafuasi wake. Chadema wataisikia kwenye bomba tu.
Ushahidi upande wa utetezi lazima ukamilike kabla hukumu haijatoka,wakuu tutulie tusubiri Prof Juma afanye vitu vyake.Huyu Jaji namwelewa alivyomakini hapa magamba hawachomoki hili jimbo ni la CDM tu.
Huyo Jaji atakayetoa hukumu kinyume na taratibu za kimahakama kwa kuzingatia ushahidi ajiandae kuhama Arusha la sivyo kichwa chake kitakuwa halali ya wana Arusha kama akimvua Ubunge mbunge wao kwa hizo njama zinazopangwa.Kwa jinsi ninavyoifahamu Arusha hakika patachimbika hiyo kesho baada ya hukumu.
Kwenye suala hili la Dr.Mwakyembe inaonyesha wazi mchezo mchafu umefanyika,hapa si polisi wala nani atakayeweza kuthibitisha kemikali zinazoathiri bone marrow yake ni za aina gani isipokuwa jopo lenyewe la Madaktari.Kwa jinsi taarifa zilivyo ni dhahiri jeshi la polisi limekuwa compromised kwa...
Kama kuna changamoto tutakayokumbana nayo kama Taifa mwaka 2015 ni kumpata Kiongozi muadilifu ambaye ataivusha Tanzania toka hapa ilipo.Kuna kutokuaminiana kwingi baina wa wananchi.Kama wananchi sisi kwa sisi hatuaminiani je itakuwa kwa kiongozi wa nchi kuaminiwa.
Lazima tuwe na mfumo imara wa...
Kwa kweli malipo ni hapa hapa Duniani na habari hizi zinavyozidi kutoka kila kukicha ndiko kinachozidi kumchanganya kupita maelezo.
Huko kuzimika zimika ni kuweweseka kwamba habari zimevuja na hakuna namna ya kuzuia.
Hapo waraka wa Dkt. Mwakyembe haujatoka hadharani ukitolewa hadharani mambo...
Umesema vyema mkuu,Jeshini hakuna dharau kwa mkubwa ni heshima kwenda mbele hata kama umemzidi elimu.Haya mambo tuyachambue kwa umakini.Tuchuje pumba na kuziweka pembeni ili tubaki na ngano safi itakayotusaidia kusonga mbele.
Lakini kusema ukweli kwa miaka ya hivi karibuni TISS imeonyesha...
Kama SG ndio suluhisho la matatizo yetu ya umeme ambayo yamedumu kwa muda mrefu kwa nini sasa mradi huu hautekelezwi? ni kwa maslahi ya nani hautekelezwi?,tunapaswa kumfahamu ili tumuwajibishe.
Alichosema Bashe ni sahihi kabisa CCM ijiandae kukabidhi chama mwaka 2015 kikiwa chama cha upinzani hakuna namna wanaweza kupona na sumu ya ufisadi ambayo imeingia mpaka kwenye mishipa ya Chama.
Wilcard you are right,as long as Rostam Aziz anaendelea kubaki na kadi yake ya CCM hajapoteza sifa ya kuwa Mbunge kama katiba inavyosema,ni mpaka pale chama chake kitakapoamua otherwise.Mimi naona huu ni mchezo wa kuigiza tusubiri tuone hii filme inavyoendelea.
Kama kweli hana fedha kama ilivyoelezwa na Dr. Slaa na Mch. Mtikila watakuwa hawajamtende haki huyu dogo mbona analalamika namna hii.Kama kweli Dr.Slaa ana data za ubilionea wa Rithiwani atwekee hapa jamvini ili tuweze kuthibitisha kauli hizo.
Hakuna ufisadi wala nini haya ni makubaliano halali ndani ya chama yakiwa na lengo la kukijenga chama.Makubaliano haya huwezi kuyalinganicha na ukwapuaji wa akounti ya EPA Benki kuu au Meremeta, Deep Green Finance,Richmond na Dowans.Chadema wanatumia vikao halali kuidhinisha fedha halali...
Serikali hapa lazima ifanye jambo la ziada sio kutoa majibu mepesi mepesi kwenye suala linalohusu maisha ya watu wengi kama hivi.Kwa kweli kwa babu kumefunga duuuuu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.