Search results

  1. J

    Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

    Usije kukuta wewe ndio umeishia madrassa au chekechea! Dr.Mo
  2. J

    Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

    Kweli kabisa mkuu. Siku hizi mie hata kupeana mikono na watu nimestop, nasalimiana huku nikiwa nimeikunja. Cha ajabu wanaopinga hapa wanaonekana ni wanaume, nadhani ni yale maumivu wanayoyapata.
  3. J

    Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

    mzabzab wants to be friends with you on Facebook. tinna cute wants to be friends on Facebook. Confirm Request: See All Requests charminglady has confirmed that you're friends on Facebook mzabzab and charminglady are now friends on facebook New message from mzabzab...
  4. J

    Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

    Wanaujua vizuri, Jf yenyewe kuna watu wameambulia manyoya mara kibao, sembuse facebook, unakuta mke wa mtu ana marafiki 1024, halafu wote hao awe anachat nao kuuza chai tu, thubutu!
  5. J

    Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

    Kwanza sitaki mengi, wanipe user names za wake zao, sitaki wachumba wala wapenzi, i mean wake. Nitakuja kukopy na kupaste link ya chat history hapa kama mtu hajafa, mie sitajali chochote coz nitafungua account ambayo nitaifunga baada ya zoezi.
  6. J

    Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

    Rekebisha kwanza signature yako, umeikosea: "Kushindwa kuelezea mwanzo haina maana nikubali kuna fisi mwenye mikia saba aliyeumba sungura wote duniani" -Introvert
  7. J

    Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

    Asprin kama angekuwa na password yako ya Jf, angeshakufa muda, kwa sababu bado ni mzima najua hana.
  8. J

    Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

    Kichuo sioni tatizo, labda ungesema kichekechea. Subiri tu utajionea siku moja, ila kama mduwanzi hata watoto wa kichina utalea bila wasiwasi.
  9. J

    Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

    Nakubaliana na wewe lakini kuna watu wanabisha kwa sababu inawauma. Kuna jamaa moja ni mtu wa makamo alisema siwezi tena kujiunga na mtandao wowote wa kijamii, baada ya kukuta wall ya binti yake aliyekuwa form 4 wamepiga picha analiwa denda na mtu hata hamjui! Alikataa kata kata kumlipia ada ya...
  10. J

    Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

    Anayebisha aanzishe hiyo aone kama hajavunja mahusiano fasta. Tena aweke mipicha ya migari mikubwa mikubwa kama Hammer na miBMW kama hajamtongoza within mins.
  11. J

    Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

    Wewe dogo una matatizo gani, ungeweza kupita tu, kwanza una wasiwasi gani wakati mumeo hata facebook haijui, yeye anajua ni kitabu. kwani JF ni yenu mpaka umwekee mtu mipaka ya kuandika, umeletewa data unalia, kwenda zako huko.
  12. J

    Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

    Sasa hutaki ukweli, ndio unakwepa nini sasa! Hata wewe mwenyewe sidHANI kama utampa mpenzi wako Asprin logins za Jf, maana isije ikaleta zahama!
  13. J

    Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

    Laptop huwa namwazima mtu yeyote kama ana matumizi nayo - mie sio mchoyo kivile, ila nyingine ni yangu pekee, simwazimi mtu.
  14. J

    Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

    Wanaume mbona wanahusika sana mkuu, utasikia "kuna demu mmoja nilimtongoza fb, kanitumia picha halafu amedai ........"
  15. J

    Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

    Mie nimeleta nilichokiona, sihusiki na wizi wa wake zenu, sasa nashangaa watu na mihasira hiyo. cc: mwekundu Tized lara 1
  16. J

    Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

    Wanaume huhitaji hata kuwafanyia ushushu, wao wenyewe wanakusimulia a-z.
  17. J

    Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

    Wewe amini tu mmeo yupo fb kwa ajili ya mawasiliano, na wakati ana simu, email na skype id.
Back
Top Bottom