Search results

  1. Dr Lizzy

    Nani....?

    πŸ™ˆπŸ˜πŸ˜πŸ˜
  2. Dr Lizzy

    Nani....?

    TRUE! πŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎ Ila mi nilikuwepo tokea '06 ikiwa Jambo Forums. Not sure what happened to my first ID.
  3. Dr Lizzy

    Nani....?

    🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Rev ni kichwa haswa!!!Na ucheshi kama wote. Nimependa hiyo ya Director! Power ya kuwa anonymous! 😁 But, usingekula kona bana...
  4. Dr Lizzy

    Nani....?

    🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Na Rev alikua mchokozi jamani. Umkute siasani huko sasa....😁 Na yeye aliamua kujitoa kama partner wangu AD.
  5. Dr Lizzy

    Nani....?

    Yani πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Ila watu walimbuni binu ujumbe ufike! Nadhani lazima kuna muda lilikua the most used word humu. Heheheh...inawezekana ndo anaukaribia ama ameshaingia, maana nimekuja kugundua baadhi tulikua bado wadogo kiumri enzi zile. Either tulikua tunamalizia uteen au tunachezea early 20s...
  6. Dr Lizzy

    Nani....?

    🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Kweli ilikua mpaka Maxi a-assist?????😲😲 Sijawahi kujua hiyo!πŸ˜†πŸ˜† Mi nakumbuka nilikua sipendi kutumia kwenye simu kwasababu scree zilikua ndogo alafu kazi ku-navigate.πŸ₯΄
  7. Dr Lizzy

    Nani....?

    Kukimbizana na watoto kazi ujue. πŸ™ˆπŸ€£ Zamani kulikua na balance nzuri. Alafu watu walikua wanaogopa kupigwa zile ngumi za CRAP thread zima tokea mwanzo mpaka mwisho wakizingua sana.
  8. Dr Lizzy

    Nani....?

    Katika watu nnaowamiss ni partner wangu AshaDii πŸ˜” She was something else!πŸ™‚ Inawezekana ana ka-id kakuchungulia mambo yanavyoendelea.πŸ˜Άβ€πŸŒ«οΈπŸ˜ 😁😁 We Manyanza unataka tu kumpa Lamomy mabomu yakunipiga nayo akinikuta mahali nawasema watoto na utoto wao.πŸ˜Άβ€πŸŒ«οΈ
  9. Dr Lizzy

    Nani....?

    Ila tumetoka mbali sana 🀣🀣🀣 Imagine mtu ilikua inabidi, uoge, uvae upendeze ndo ukatafute Internet. πŸ˜†πŸ˜† Waache watoto wafurahie muda wao bana. 10 yrs from now, na wenyewe watakua wanaboreka na kizazi kipya.
  10. Dr Lizzy

    Mambo yote ni Maakuli - Hunogesha Mapenzi

    Hey The Boss πŸ™‚ Nimeona hii nikajisemea ungekua karibu ningekupa zawadi, maana nilijaribu chai yako yenye vanilla sikuipenda.
  11. Dr Lizzy

    Mambo yote ni Maakuli - Hunogesha Mapenzi

    Saint Anne njoo uone portion za zamani!☺️😁 Vincenzo Jr unanikumbusha vitu ambao hata sikua na idea niliwahi kuandika, na mengine hata sijui nilikua nafikiria nini.πŸ™ˆπŸ™ˆ
  12. Dr Lizzy

    Nani....?

    Acha kuwachokoza watoto, hawajawahi hata kuingia café wakaona jinsi dakika 30 zinavyoweza kuisha haraka!😁😁😁 Vibaka walaaniwe!!! 😬😬😬
  13. Dr Lizzy

    Nani....?

    🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Na ulikuaga popular! 😎😁 Kweli those were the days!!!☺️ Palikua pananoga sana. Ujinga kama wote! Usipoingia jukwaani unahisi homa.😁 Alafu kuna namna tulikua tunabalance vizuri ujinga/utoto na issue serious.
  14. Dr Lizzy

    Nani....?

    πŸ€—πŸ˜…πŸ˜… Kweli inaendana na wewe...😁 Hivi wewe sindio ulikua unakrashiana na Husninyo ??πŸ˜€
  15. Dr Lizzy

    Nani....?

    Nidokeze ID yetu ya zamani basi πŸ˜‰
  16. Dr Lizzy

    Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

    🀣🀣🀣🀣 Niruhusu nianze kukuchokoza na wewe basi raraa reree ☺️
  17. Dr Lizzy

    Nani....?

    I knoww, right!?πŸ˜† That's the magic of time, I suppose! Tulikuwaga na ujinga mwingi sana back then.πŸ˜‚
  18. Dr Lizzy

    Nani....?

    Vincenzo Jr mchokozi. Huwa analike utoto wangu, basi nikichungulia tu nostalgia inanikamata, najikuta nazama mazima!😡😡
  19. Dr Lizzy

    Nani....?

    Must have been your alter. 😁
  20. Dr Lizzy

    Mlio oa au kudate na wanawake wa kimachame njoeni hapa tufarijiane ndugu zangu

    100 others hanaga hila bana! Akisema amesema. πŸ™‚
Back
Top Bottom