Search results

  1. T

    Wazazi wa Shule ya Sekondari Kisasa Dodoma wamtaka Waziri wa Elimu aingilie kati suala la Wanafunzi kufukuzwa Shule kiholela

    Baadhi ya wazazi wamemuomba Waziri wa Elimu kuingilia kati suala la wanafunzi kufukuzwa kiholela katika shule hiyo baada ya bodi ya shule chini ya shinikizo la Mkuu wa Shule hiyo anayefahamika kwa jina la Kandoro kuwafukuza shule tarehe 03/06/2023. Wazazi wanadai watoto hao walifanya makosa ya...
  2. T

    Hivi maana ya kuwa na madirisha ya Wahudumu 5 au 7 benki ni nini?

    Kuna benki moja maarufu sana ni balaa! Madirisha mengi ila zinazotoa huduma ni Moja au mbili
  3. T

    Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

    Dah! Ila viongozi wa Yanga wamezidi kuparamia mambo!
  4. T

    Ni shule gani ya sekondari ilijengwa na wakoloni Waarabu halafu Serikali ikaitaifisha baada ya uhuru 1961?

    Tanganyika haikutawaliwa na mwarabu, halafu shule zote zilizojengwa na wakoloni Wazungu zilitokana na unyonyaji na ukandamizaji dhidi ya mtu mweusi.
  5. T

    Tuliohamishiwa Dodoma, tujadili ndoa zetu

    Mie mwenyewe nko Dom itakuwa poa nikipata jimama kutoka mkoani tutoane hamu
  6. T

    Mwigulu Nchemba: Tumepokea maoni ya tozo, tunashughulikia

    Yaani mtasababisha maisha yazidi kuwa magumu kwa wapangaji kwani walio wengi ni maskini. Ukimtoza mwenye nyumba automatically itamuathiri mpangaji. Mfano kama mpangaji analipa Kodi 30000 kwa mwezi bila tozo, mkimwekea makato ya tozo Nate ataongeza Kodi. Hivyo moja kwa moja atakaye athirika ni...
  7. T

    Naanzisha kampeni ya kumuomba Rais Samia amuondoe Mwigulu Wizara ya Fedha

    Unyonyaji mkubwa unafanyika kupitia tozo
  8. T

    Barua ya wazi kwa Mzee Bakhresa, Gharib wa GSM na Mo Dewji: Wakati mkiwekeza katika michezo, isaidieni jamii pia kwenye mambo mengine ya maana

    Kweli, Ushauri mzuri wanaweza kuwekeza katika afya(zahanati na hospital),elimu (Shule na vyuo)
  9. T

    Uongozi soko la Majengo jijini Dodoma na mambo ya ajabu!

    Katika pitapita yangu leo, nimekuta vipeperushi vilivyoandikwa na uongozi wa soko kuu Majengo ,linalo wataka kuwafukuza wadau wa soko (boda boda, bajaji na wabeba mizigo) kuondoka katika maeneo yao ya kazi kwa kisingizio wanaleta msongamano kuanzia tarehe 07/06/2019 . Hoja hii haina mashiko na...
  10. T

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Kuna siri kubwa chini ya kapeti Sent using Jamii Forums mobile app
  11. T

    Mh Spika kwa Maswali na majibu leo Katenda Haki Wizara ya Tamisemi

    Huyo naibu waziri amepiga 'fix' kufurahisha viongozi.Kiukweli wapo watumishi wengi wanalalamika juu ya kucheleweshwa kupanda madaraja,wako walopandishwa madaraja miaka ya nyuma na barua wanazo lakini hawajapata mishahara mipya.Yako malalamiko mengi kwa watumishi wa umma juu ya madai mbali mbali...
  12. T

    Tatizo namba moja la Yanga ni Clement Sanga

    Kifupi ungozi mbovu tunahitaji viongozi wenye maono chanya na watekelezaji.
  13. T

    Msaada: Simu yangu haipokei simu wala Meseji

    Ondoa 4g uliyo'prefer' kisha weka auto
Back
Top Bottom