Search results

  1. D

    Mke wangu simwelewi kabisa, ananilazimisha niwe na mchepuko

    Kwanza Chupi nyeupe kuwa khaki hiyo noma,pili usafi wa chumbani hiyo noma kwa haya tafuta wanawake wezake wawe wanaongea story za usafi kwa mwanamke. Kuhusu mchepuko dont do kama mumeoana labda itokeee tuu, cha muhimu ni kumfanya yeye afurahie kila dakika ya hilo tendo ...licha ya kuwa na...
  2. D

    IGP Mangu: Lugumi ilitekeleza mkataba wake na Jeshi la Polisi

    Kuchukua alama za vidole na vitu kama hivyo kama DNA haitaji any connectivity zaidi ya equipment za sehemu husika....analysis yake ndo inaweza kuhitaji connectivity na server ku fetch na compare na saved data. Anyway kama hii ilikuwa ndio mradi ulivyotakiwa kuwa(Synchronized System) maana yake...
  3. D

    Takukuru fanyeni na hili kurudisha heshima ya nchi na viongozi

    Kama walikusanya ushahidi itakuwa rahisi na wana ushahidi....otherwise ndo imetoka
  4. D

    My Experience with a Fake Female ID apa JF

    Ulijisikiaje kutongozwa??
  5. D

    Al-Shabaab wamuua Mtanzania Issa Jemes Mwesiga, kwa kumshtukia ni shushushu

    Hii ni propaganda ya Wakenya kuonyesha Tanzania inatatizo na hao alshababy. Hawa dawa yao ni kuwakanusha propaganda zao on spot. Liability ya source ikoje?Ugumu wa ku make up story ukoje?
  6. D

    Operesheni Zinduka 4 - Unajua ni kwanini hasa Dr. Slaa "alimleta" Lowassa CHADEMA? Jibu litakuudhi

    Mzee Mwanakijiji You have failed to understand the argument. Maneno mengi hayajibu swali. Is easy to be advocate of changes that's way whoever talk about change make senses .And whoever go against doesn't make sense ,simply because it doesn't make sense.And if you try to make sense as what you...
  7. D

    Jibu la Swali la Nyani Ngabu: Kweli Tume ya Uchaguzi Yaweza Kuvuruga Kura za Urais?

    Maelezo yako nadhani hayajibu dukuduku la conflict of interest kwa mwenyekiti wa chama kuunda tume ya uchaguzi kwenye demokrasia changa na mifumo dhaifu ya udhibiti kama takukuru, polisi, usalama...hii hizi taasisi bado zina pata direct order toka kwa huyohuyo mwenyekiti ,tofauti na USA ambapo...
  8. D

    Jibu la Swali la Nyani Ngabu: Kweli Tume ya Uchaguzi Yaweza Kuvuruga Kura za Urais?

    Unaweza kisaidia ku qoute vipengele ulivyo tafsiri ,please. Aksante
  9. D

    Jibu la Swali la Nyani Ngabu: Kweli Tume ya Uchaguzi Yaweza Kuvuruga Kura za Urais?

    Au kuwa na uwakilishi ni jimboni ni ubunge tuu?
  10. D

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Ukawa hawatukani wala kufanya dharau. Siasa safi
  11. D

    Sophia Simba akiwa na rais Kikwete Marekani muda mchache kabla ya kikao cha UN

    Alibadili shati na tai? Picha moja tai blue..shati white blue...nyingine tai nyekundu shati white/jeupe.
  12. D

    Swali la Ugomvi: Kwani Lowassa Kawa Mganga wa Kienyeji?

    Lowassa anafanya watu wanapiga push ups ,watu wana tukana ,watu wana loose credibility ,ila muhimu wengine wanapata kidogo kitu kutoka budget ya kampeni........ Dude pole sana Mwanakijiji just know is so easy to be advocate of changes...ndio maana ilikuwa rahisi kwako kipindi hicho...ila kwa...
  13. D

    CCM ushindi asilimia 100

    Unajua 100% maana yake? Halafu watu kama wewe unawakuta pia kwenye timu ya kampeni ya ccm ,lazima mchakazwe kwenye Tanzania hii inayobadilika.
  14. D

    Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    Ungesema siku zingine ila Tanga alikuwa yuko so energized ....nakushauri watch video ziko youtube na kwingineko Facebook etc........add Facebook :Uchaguzi Tanzania Kama unapiga propaganda understable ...just ignore my comment
  15. D

    CHADEMA lazima Imshtaki Nape

    wahaoni uitikiaji wa watu kwa wanachoongea ,kwani wafundishwi hilo ....wanaoshangilia ni wale wa mbele tuu ambao uwezekano mkubwa ni jumuiya ya ccm ....
  16. D

    Chanel 10 yajichanganya na kurusha ukweli wa mkutano wa Tanga

    Nilidhani utakuwa honest kusema habari imekuchanganya kwa kuwa kafanya mikutano zaidi ya mitatu jana kumbe una team unayoshabikia . na kukitaka video ya mumbuli vijana wawili wanatiwa ndani ya gari ya polisi na mkutano unaendelea utapewa. Ok hii ya Chanel 10 wanasifia ten...
  17. D

    Chanel 10 yajichanganya na kurusha ukweli wa mkutano wa Tanga

    Habarika zaidi. Watch "HABARI SEPTEMBER 28 | AZAM TV" on YouTube https://youtu.be/0uKy4BcSRN0 UKAWA Tanga mjini na Tanga kwingineko...Azam TV
  18. D

    Chanel 10 yajichanganya na kurusha ukweli wa mkutano wa Tanga

    Watch "HABARI SEPTEMBER 28 | AZAM TV" on YouTube https://youtu.be/0uKy4BcSRN0 Link hii hapa anayetaka kusikiliza kilichotokea Tanga Mjini na sehemu nyingine Tanga. Hii ni Azam TV
Back
Top Bottom