Search results

  1. L

    Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)

    mimi nadhani yuko sahihi. Nia kubwa ya kuwa na mziki mkubwa huu ni kusaidia wananchi. Kuna haja ya kuangalia namna ambavyo wafabnyabiashara wetu wadogo wanaweza pia kuingia katika treni hiyo na kurejea kwao. Pia ipo haja ya kuangalia namna ambavyo wtau wetu na mizigo yao wanaweza kutumia...
  2. L

    Maida Waziri Mkandarasi mjasirimali alyeanzia kuuza mitumba mara tu baada ya kumaliza kikdato cha 4

    Nimefanyakazi hii na ningependa watu wanaojifunza ujasiriamali kuona safari zilivyo ndefu
  3. L

    Usomi na ukweli wa maisha

    MOPAYA MADI Mtaalamu wa kodi aliyeona fursa katika ung’arishaji viatu Na Beda Msimbe NI nadra sana kukutana na mtu ambaye amehitimu fani nyeti ya Usimamizi wa Kodi na Forodha kufanya shughuli ambayo ni kinyume na taaluma yake, akaifanya kwa nguvu zote na kwa mapenzi yake yote. Wiki hii katika...
  4. L

    Aibu stendi ya Msamvu Morogoro

    Kuna kitu tunakisahau pia. wananchi wake wapo wanajali usafi au? hilo la kwanza lakini la pili nadhani think tank ya manispaa(baraza la madiwani) linajali posho zaidi badala ya kuangalia tatizo la asili la mji kuwa chini.Aidha maji yaani water table ya Morogoro ipo juu sana na ujenzi unaofanyika...
  5. L

    Marekani inathibitisha kifo cha Ballali

    Mimi nashangaa sana.nadhani aliyesoma ndiye mwenye uvivu wa kufikiri kwani maana ya utamaduni na asili husawazishwa na umiliki wa majina na umiliki wa majina si utani ukiona Smith unajua katoka wapi au hamjui maana kwa sababu majina mliyonayo hayana maana.Neville amenunuliwa?! hii ajabu kabisa...
  6. L

    Mahakama ya Kisutu yawahukumu wezi wa EPA, Maranda na Farijala miaka 22 jela

    Jopo la mahakimu watatu leo lilitoa hukumu ya jumla ya miaka 21 kwa mfanyabiashara Rajabu Maranda ambaye alikuwa katika tuhuma na nduguye za kula njama , kugushi na kuiba fedha za madeni ya nje (EPA) kiasi cha bilioni 1.8. Watu hao walikuwa wanakabiliwa na tuhuma nane. Hiyo ni hukumu ya kwanza...
  7. L

    TANZIA John Mwankenja auawa kwa risasi

    Kuna maswali ya msingi kuna nini katika Halmashauri?Isije ikawa kaponzwa na misimamo yake kuhusiana na mambo fulani na mara nyingi ni mijifedha au miradi yenye utata!mimi sisemi konspirasi hapa lakini nataka kusema inakuaje hasa mtu anapigwa risasi nyumbani kwake.ni kuuawa tu...
  8. L

    CCM Wasaidieni Watanzania ili Kuwanyamazisha Chadema Vinginevyo Siku zenu zinahesabika

    kazi ya upinzani ni kutaka wenyewe watawale kwa kosa la mwenzake, lakini cha maana katika falsafa ya kuwa mpinzani ni kushawishi kwamba wewe unaweza kwa kuwa huyu kashindwa: wenye akili huamua it is high time.mitusi haiwezi kubadili mustakabali wa nchi hii ambayo huenda kwa miaka pengine 20 hivi...
  9. L

    Elections 2010 Kwanini Dr. Slaa anawakosesha raha?

    Very funny!!!!!! sihasa kweli si hasa. lakini jambio kweli jambio ni harufu yake kama inapendeza (ahh hili litamalizika tusi ngoja nibadili mkao) ni kuwa kama wapinzani wakilala basi CCM inayotawala italala na kama ikilalala maendeleo haytatakuwapo ni lazima Slaa amnyime usingizi kikwete kwa...
  10. L

    Hi imekaaje? anataka kujiwowa!

    hii imekaa sawa. kweli nakwambia binadamu wana mambo.:nono:
  11. L

    Waafrika mazezeta!

    Mimi nadhani uzezeta ni undefined. Nina maana pana katika hili bila kuangalia watu wengine wanasemaje.Vigezo vya kutambua mbumbumbu vipo lakini vigezo vya mtu kukataa kujifunza Kinichi si umbumbu ni maamuzi. Hivi unazungumziaje suala la mafuta uarabuni? ha ha ha ha ha:painkiller: tuangalie kama...
  12. L

    Kati ya ahadi zaidi ya 40 alizotoa JK mwenyewe ni ngapi ametekeleza?

    Wakati fulani unajiuliza watu wanapima kwelikweli au wanajisemea kwa sababu tu hawataki kuona sura ya mkwere pale ambaye ametoka na kulelewa na CCM? Au hii inakaa vizuri sana kama mtu ataangalia nini kinafanyika kinakosewa kipi akatoa na suluhu kama china, piga risasi ukiwa umebanwa au suluhu ya...
  13. L

    Kati ya ahadi zaidi ya 40 alizotoa JK mwenyewe ni ngapi ametekeleza?

    Hii ni kweli au uzabizabina? siku nyingine naogopa kuingia mitaa hii manake watu hujenga maghorofa ya barafu yakaporomoka ushahidi unapotakiwa? Mhhhhhh!!!! manake he!:drum:
  14. L

    Elections 2010 Kama CCM itamsimamisha JK

    Please do not insult inteligensi ya watu, ni dalili ya kuwa na upungufu wa akili kama unakimbilia mitusi na kushutumu watu. Vyama vina misimamo yao na ni hiyo misimamo ama inawavua madaraka au inawaingiza kutokana na jinsi hali inavyoruhusu na mahitaji ya watu wakati huo. Kama muda bado CCM...
Back
Top Bottom