Search results

  1. taffu69

    Mabasi haya mnayakumbuka?

    Lang'ata Black Nyau (Marangu Coach) Rombo Investment Maraha
  2. taffu69

    Tetesi: Mkataba wa Bandari: Wabunge wa CCM waitwa kikaoni kesho Mchana, Juni 9, 2023

    Tatizo kubwa ni kuwa walishona nguo kabla ya kuchukua vipimo, kasheshe ipo kwenye kuifumua ili ishonwe upya
  3. taffu69

    Zito Aisifu Serikali Kupeleka Bungeni Mkataba wa Bandari,Asema ni Hatua Kubwa Haikuwa Kufanyika Hapo Awali.

    Bunge lipi na nini kitakachojadiliwa chenye tija na maslahi kwa taifa. Wakati mwingine tunapumbazwa badala ya kutafakari na kutafuta njia sahihi ya kujinasua tunaishia kushangilia na kupigia makofi hata visivyofaa wala kustahili
  4. taffu69

    Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

    Msukuma anajificha kwenye kivuli cha darasa la saba kusukuma ujinga wake huku akidhihaki na kutukana wengine. Kuona sio kutambua, nchi inazamishwa na walafi wachache kwa kigezo cha tunacheleweshwa. Haraka ya kuzamisha nchi kwa masilahi ya kundi fulani inatoka wapi. Masuala ya nchi ni lazima...
  5. taffu69

    Tume ya Haki za Binadamu yatoa ripoti ya kifo cha Nusura Hassan Abdallah, chasema hakuna uhusiano na ajali ya Waziri Dkt. Festo Dugange

    Hili jambo wangeamua kukaa kimya linge resti ini pisi. Kwa kuamua kuliundia tume na vikundi vya kulichunguza ni kuendelea kumchokonoa marehemu na wafiwa. Kwa kufanya hivyo kamwe halitaweza kuresti ini pisi na kufikia tamati. Uongo haujawahi kuwa na nguvu mbele ya ukweli. Sifa pekee ya uongo ni...
  6. taffu69

    Video: Makonda akitoa watu mapepo

    Sio kila mikono inafaa kuwekewa mtu. Mikono mingine imeelemewa kwa mapepo.
  7. taffu69

    Ndege za Mizigo zinazo tua kwa jirani hapo sio za kwao.Ila zinatua

    Tumewaruhusu watutawale hadi kwa ubongo. Rulers are never Leaders
  8. taffu69

    Naomba ramani ya Zanzibar inayoonyesha kuwa Bagamoyo ni sehemu yake

    Kuna mambo mengi sana yanasongeshwa kimya kimya na wananchi kwa bahati mbaya ama kwa kutokuelewa wameamua kupuuza na kutodadisi/kuhoji mambo ya msingi kwa mustakabali wa nchi yao na kishia kufumbata udaku na majungu tu.
  9. taffu69

    Mwanasheria Mkuu: Ripoti ya mabilioni ya Uswisi ipo tayari

    Serikali iliyojaa wezi itawezaje kuwashughulikia baadhi ya wezi miongoni mwao. Itakuwa ni bla bla pekee kama ilivyoshuhudiwa kwenye matukio mengine. Kwa uchache tu; Orodha ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya anayotembea nayo MKUU WA NCHI kwa kipindi cha takribani miaka nane sasa imefanyiwa...
  10. taffu69

    Waziri Mkuu Amesema Leo Bungeni kuwa ni Sahihi Watoto wa Shule kutumiwa na CCM kwenye shughuli za Ki

    Kuwa na watawala kama Pinda ni janga kuu kwa Taifa; kauli zake zinatia kinyaa na machukizo mabaya sana. Ashukuru yuko kwenye kundi la viongozi dhaifu na wa hovyo vinginevyo angekuwa kijijini kwao akilima mahindi na kufuga nyuki.
  11. taffu69

    Serikali yakanusha kuhusu ndege ya rais wa China kubeba Pembe za ndovu na kusema ni uongo

    Tanzania ni zaidi ya meli inayozama ambapo kila mtu ndani yake huhangaika jinsi ajuavyo ili kunusuru maisha yake. Ni aibu iliyoje walio nje wanaona na kutuonea huruma kwa uchafu na uovu unaofanywa ndani ya taifa letu lakini viongozi kwa jeuri na kiburi ama kwa kuwa wananufaika na uovu/uchafu huo...
  12. taffu69

    Kwanini Sitta na genge lake wamekuwa mabubu taarifa za kura za utata za Meghji na Ambar?

    Kweli kabisa; Sitta ni mwerevu wa hali ya juu kwa uchakachuaji, kuiba kura na ubabe.
  13. taffu69

    Dr Slaa kupokelewa Kama Mfalme Marekani inamaana anatambuliwa uwezo wake?

    Ujumbe mujarab kwa mkuu wa kaya ambaye hajui hata sababu ya umaskini wa Watanzania
  14. taffu69

    Butiku: Mwisho wa CCM miaka 10

    Kwa kauli hiyo inaonesha wazi kuwa umelaaniwa.
  15. taffu69

    Maamuzi ya Mahakama kuhusu Bunge la Katiba

    Hili ni pigo la kwanza kwa SamwelI Sitta & Co. Ltd. Sijui Asha Migiro na PHD yake ataficha wapi uso wake baada ya kudanganya umma wa Watanzania kuwa mahakama imebariki kile kilichokuwa kinafanywa na BMK. Kimsingi Sitta na timu yake wamejitengenezea EPA yao kwa mgongo wa BMK
  16. taffu69

    CHADEMA huwalipa wanaoandamana

    Mbali na kukimbiwa na mkewe; dhambi aliyotenda kwa Bw. Kibanda itaendelea kumtafuna maisha yake yote. Ludo hana tofauti na wafuasi wa IS ama BOKOHARAM
  17. taffu69

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Kuna tetesi kuwa akitoka huko anaunganisha juu kwa juu mpaka China.
  18. taffu69

    Mh. Mwigulu Nchemba azidi kudhihirisha kuwa ni chaguo la Watanzania wengi

    Jitafakari wewe mwenyewe kwa undani na kwa makini zaidi kwani inaonekana wazi kuwa wewe ndiye mwehu na juha ila hujitambui
  19. taffu69

    Mh. Mwigulu Nchemba azidi kudhihirisha kuwa ni chaguo la Watanzania wengi

    Hao wengi unaojinasibu nao sijui wanatoka wapi zaidi ya genge lenu lililojivua utu na kuamua kulamba miguu ya watawala kwa minajili ya kupata mkate wa siku.
  20. taffu69

    Mh. Mwigulu Nchemba azidi kudhihirisha kuwa ni chaguo la Watanzania wengi

    Njaa uliyo nayo ni kali mno kiasi kwamba umeamua kujivua utu na kujivisha upofu ili uweze kumpamba huyo mwali wako bila soni wala haya.
Back
Top Bottom