Search results

  1. miley

    Kiwanja kinauzwa moro, kihonda

    Bei sh. Milion kumi, ukubwa sqm650, kina hati. Contact.0715500248
  2. miley

    FREM INAPANGISHWA

    Fremu IPO ilala mchikichini inatazamana na Soko la kigogo sambusa inafaa kwa biashara yoyote. Anayehitaji piga Simu 0715500248, 0628104468
  3. miley

    Nauza mashine ya Maxmalipo

    Anayehitaji mashine ya MaxlLipo ipo katika hali nzuri sana bei maelewano biashara huku kwangu ngumu. Nitafute namba 0715500248au 0756171831 fasta.
  4. miley

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Namba yangu ya simu 0715500248 yafadhali startimes mnipe majibu.
  5. miley

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mimi Naitwa MILANZI naishi MBEZI nimenunua vocha ya sh. 10,000 juzi nimeweka katika decoder 02035160274 nimepata baadhi tu ya channels kunfu inaganda na baadhi. Na ile offer mliosema siioni hapa tatizo mini? Startimes?.
  6. miley

    Uchaguzi kura za maoni ccm nirushwa

    Nimeshuhudulia with wanakusanyika kwenye nyumba moja hapa Mbezi juu mtoni wanapatiwa pesa kumpitisha mgombea udiwani mwanamke jin a silifahamu. Lakini wanachofanya wanachukuliwa with (vijana) kuwapa pesa na with wengine wanaotakiwa wapige kura hawaitwi. Napenda kujua wanaotakiwa kupiga kuta ni...
  7. miley

    Kiwanja kinauzwa kipo Morogoro Kihonda kwa chambo

    Kwa anyehitaji kiwanja cha ukubwa wa sq mita 600 kina offer katika plan y manuspaa.umeme na Maji vipo. Bei sh. 9,000,000/ .nipigie 0715500248,0756171831.
  8. miley

    Nauza kiwanja chenye hati. Mashine ya Max com ( Max malipo)

    Ndugu wadau Nina kiwanja kilo morogoro kihonda kwa chambo kina ukubwa sq mita 600 kipo karibu na Barabara. Huduma yq umeme IPO Maji ya kisima cha kuvuta. Kipo kwenye ramani. Being maelwwano. Cont 0715500248 Pia Nina mashine ya max malipo inafanya kazi nataka kubadili biashara. Being laki 5...
  9. miley

    TMA: Mvua Dar zimefika ukingoni

    ndiyo maana ukaitwa utabiri!
  10. miley

    Nijuze

    Naomba kujua faida na hasara za kutumia dawa za kuongeza nguvu erectro mg 100. na dawa ipi nzuri naweza kutumia kunipa nguvu ya kupiga bao tatu nikiwa na age 50?
  11. miley

    Niulize juu ya ugonjwa wako nikwambie tiba ya maji ya matunda za mboga za majani

    Ninaumwa kwenye nyayo, kama nikisimama sana kama nakanyaga moto! nikiwa nimekaa haiumi nina urefu cm 5'5' na uzito kg 65,miaka 52
  12. miley

    Hii nchi haina uhamiaji?

    Kwanini Dar imefurika wahamiaji toka Malawi? kuna nini wanakimbia kuja Tanzania kuja kuchimba mchanga Mbezi Juu na kulala kwenye chumba kimoja watu 20? Serikali ya mtaa inaona lakini wamefumba macho au wana vibali? Hii italeta shida wakati wa uchaguzi mkuu. Nawaomba wahusika na hili...
  13. miley

    Walimu shule ya msingi Mbezi juu Dar es salaam wanadhulumu wanafunzi

    Pamoja katika sera za Wizara ya elimu kutoa tamko hakuna mtoto kumlipisha pesa za tuition, lakini shule hii mtoto kila siku lazima aende na sh, 2,000/ sh. 300 iyo quick test. 200 ya uji. 300 ya mtihani wa mchana. 500 ya masomo ya ziada jioni hata hivyo wanapewa maswali tu alafu wanabadilishana...
  14. miley

    BREAK NEWS: Mbagala Kwa Mangaya Nyumba 15 zatolewa Paa na Upepo Mkali

    Jamani mbagala pandeni miti kuzuia upepo.
  15. miley

    Picha soko la karume baada ya kuungua

    Natoa pole kwa wote walioguswa na janga. Kama kuna mtu amesababisha Mungu atajibu.
  16. miley

    Flora:Mumeo mumeo tu anaitaji msamaha .mengine yabaki Historia

    Ni MUNGU AMEKÙTUMA, ubarikiwe sana.
  17. miley

    Msaada:anayeuza pikipiki iliyotumika kias tuwasiliane

    Nina sanlg T 190 BTW imatembea ina hali nzuri. Bei 800,000. Na nina boxer 100 nayo nzuri isipokuwa inavuja oil katka engine, bei mil 1. Cont. 0715500248.
  18. miley

    Natafuta rafiki wa kike.

    Mimi nina miaka 49 nina mke na watoto 3. Nataka rafiki kati ya miaka 30-45. Awe mstaarabu na kujiheshimu. Asiwe na marafiki wengi wa kike. Mzuri kwa sura na umbo. Awe maji kunde au mweusi. Elimu ya uelewa. Asiwe kaolewa. anajitegemea/ kazi au mjasiriamali. Tuwasiliane ktk. PM au e mail...
Back
Top Bottom