Search results

  1. Y

    Kazi Wizara ya Nishati na Madini

    Haya wadau nafasi hizo wenye sifa tujitose hapo.
  2. Y

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    ok wanajamii huu mjadala mlionzisha sidhani kama unaweza kutufikisha pazuri. Kwa mtu ambaye anathink logically hawezi kusema kuna udini kwani wagombea wote wanachukua form na kujinadi mbele ya wapiga kura ( waislam, wakristo na wapagani). Kwa hiyo basi nawaomba sana ndugu zangu tuwe tunajadili...
  3. Y

    changamkia kazi hii wazee

    Unajidanganya ndugu yangu, tatizo kubwa huwa mnasikia tu story kutoka kwa watu kuhusu location mbalimbali. Wahenga wanasema ukitaka uhondo wa ngoma ingia ucheze.kwa hiyo usikariri Dar tu na usiwapotoshe wengine.Maisha ni popote na unapokuwa na hela sehemu yoyote ni New York.
  4. Y

    Ritta Paulsen wa Bongo Star Search

    Katibukata nakubaliana nawe kwa hiyo hoja yako.lakini kwanini uanze kuangalia other side of the coin. kama mtu anafanya vizuri msifu kaw kufanya kwake vizuri na kama umemuona anafanya vibaya muhukumu kwa kufanya kwake vibaya.ni hayo tu mwanajamii.
  5. Y

    Bango laigombanisha serikali na Kampuni!

    Aisee hao jamaa wa outdoor ni waajabu sana kama hawataki kutoka kwa amri ya serikali kuna kitu ambacho wanajivunia, lakini cha msingi hata kama wana mtu anawabeba wajitahidi kutii mamlaka husika ili mambo yaende vizuri.
  6. Y

    International job opportunity

    Thanks Nguli for providing to us those opportunities. tunazifanyia kazi
  7. Y

    Nafasi ya kazi Botswana

    Asante sana kaka meseji tumeipata vizuri.
Back
Top Bottom