Search results

  1. hiram

    Hizi hapa Instagram page za Timu Kubwa vs Timu zetu, umegundua nini?

    Nimegundua kwamba Simba siyo timu kubwa kiviiiiile wanajitutumua tu
  2. hiram

    Manara anazungumza na vyombo vya habari

    JAMANI mnyamwez ndo anahutubia TAIFA hivi sasa karibuni tu DIGEST spichi yake
  3. hiram

    Kama man of the match ni beki basi simba ilizidiwa

    Kama enonga ndo anaimbwa leo basi watani mlizidiwa
  4. hiram

    FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

    WIKI hii tutafanikiwa kusikia kuhusu goli la wiki kama ilivyokuwa ile wiki ya SAKO, hebu tusikilizie
  5. hiram

    Bado mechi 10 Yanga awe bingwa

    Mara zote simba akiwa nafasi ya pili kwenye ligi maneno ya mashabiki wao ni "Nyie tangulieni na baiskeli za miti! Mwaka jana mlianza hivyo hivyooo baadae tukawapindua!" Simba anapokuwa anaongoza ligi maneno ya mashabiki wake ni "KILA MTU SHINDE MECHI ZAKE" Sasa mimi niko na hili la pili la...
  6. hiram

    Uhakiki: Nimehitimu darasa la saba 1992 Nitapaje namba yangu ya mtihani?

    Kuna fomu za uhakiki wa watumishi zikidai kuwekwa namba ya mtihani wa darasa la saba, Enzi hizo 1. Hakukuwa na Google 2. Tulikuwa tukiambiwa tu kwamba umefeli au umefaulu haupewi matokeo yako kamili Nauliza wanajamvi mtusaidie je nakala ya matokeo yanaweza kuwa wapi?
  7. hiram

    Yanga inaongoza ligi ya 8 Afrika

    Timu 54 zinaongoza ligi mbali mbali Africa ila YANGA inaongoza ligi ya nane afrika. Ni kwa mujibu wa taasisi iitwayo ifhs
  8. hiram

    Tumalize utata kwanini Yanga ni bingwa mara 27

    Makolo mmesikia
  9. hiram

    Kati ya Malindi na Yanga ni yupi mkubwa kimataifa?

    kwanza pole kwa kulawitiwa na jinni Kijana Alawitiwa na Jini kwa Miezi Sita halafu issue za Yanga na Malindi zinakuhusu nini wewe KOLO
  10. hiram

    MECHI 3 GOLI 5 TANZANIA ONE WA MCHONGO

    sijaelewa au wewe siyo rizki
  11. hiram

    MECHI 3 GOLI 5 TANZANIA ONE WA MCHONGO

    Mechi tatu za kimataifa. Tuanze na SSC vs galax kwa mkapa kala tatu kisha kwa red arrow kala mbili na isingekuwa ile mimaji pale taifa idadi ingezidi
  12. hiram

    Magori uliongea nini Makonda alipoipa KMC milioni 20 kwa kuifunga Yanga?

    wakasema hadi magufuli aondoke madarakani
  13. hiram

    Ni muda muafaka sasa kwa Yanga S.C kubuni 'Mascot' yenye kuleta hamasa zaidi

    jf kuna watu wana akili sana Simba wametambulisha leo
  14. hiram

    Leo kuna nini, waandishi wa habari za michezo wamekazania neno MEMKWA

    Kuna kocha anajisomea aweze kupata leseni ya kumruhusu kukaa kwenye benchi la ufundi angalau Januari
Back
Top Bottom