Search results

  1. U

    Mtanzania Vedastus Nsanzugwanko adhuriwa na Al-Shabaab katika Shambulio la WestGate - Nairobi

    Hapa ndio napo mpenda rais wangu hakupeleka jeshi huko somalia
  2. U

    jambo

    mgeni nakuja
  3. U

    Jangwani: Lissu amenisikitisha!

    Upuuzi ndio upo kwenye kichwa chako kale viroba
  4. U

    Wa Jangwani si mkutano wa 'wapinzani'!

    Wewe nazani hata shule hujawahi kufika sijui umefika vipi hapa jamvini?
  5. U

    Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

    Wakubwa gani waumbuke live?mbona mnapenda kurukia tu kuna mkubwa gani anae ishi south africa au anae fanya kazi mahakama ya south africa?wabongo na kelele ndio mnazo zijua ndio mana hata haki zenu hamzijui mnabaki kulalamika tu
  6. U

    Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

    Point yako nini hapa watu wanongelea Agness wewe unaleta habari za tindikali au unataka kusema Masogange yeye ndio muhusika wa tindikali?
  7. U

    Wa Jangwani si mkutano wa 'wapinzani'!

    Katiba kwanza wapeni elimu ya uraia wajue haki zao
  8. U

    Twendeni leo Jangwani tukasikilize viongozi wa vyama vikuu vya upinzani

    I wish I could have been there lakin sipo dar ningekwenda katiba ndio mkombozi wetu
  9. U

    Mauaji ya Kinyama Mwanza

    Someone is behind this sio wizi tu hawawezi kuuwa mpaka kichanga hakina hata kosa lolote
  10. U

    Daktari feki akamatwa katika hospitali ya muhimbili jijini dar

    Hatari kwa wapenda kutoa rushwa na short cut always cost
  11. U

    Mh.Sitta amekiri Serikali ya sasa ni dhaifu

    Doesn't make an sense at all
  12. U

    Maandamano ya upinzani; polisi wajiweka tayari.

    Wacha upuuuzi wee hao polisi wamebariki huo mkutano usilete udaku hapa wewe kilaza
  13. U

    KAMATI ya KITAIFA ya KUMPOKEA MASOGANGE FineASS YAUNDWA

    Wewe mbona unaleta udaku wakutia hasira wana nchi kamati gani ya kitaifa mbona mnaleta maneno mengi kwanza hao watu mpaka sasa hivi hatima yao bado ipo kwenye mikono ya serekali ya south africa
  14. U

    Viongozi na Wajumbe watano wa CHADEMA wakamatwa

    Hii habari ni ya uongo
  15. U

    Viongozi na Wajumbe watano wa CHADEMA wakamatwa

    CPA au CP na katiba kanunue hivi vitabu vitakusaidia wewe
  16. U

    Hongera polisi Moshi

    Nyinyi watu mlochangia hata kuandika hamjui moja amejaribu kuandika kiengereza wengine hata kile cha bibi mkubwa hawajui
  17. U

    Viongozi na Wajumbe watano wa CHADEMA wakamatwa

    Nimehukumu wapi nikuelewesha wewe usio jua sheria za nchi
Back
Top Bottom