Search results

  1. B

    Msaada kwa HP 620

    Kutakuwa driver zimemic...kama unaweza pata driver pack soln...itakusaidia kuupdate hizo driver then kila kitu kitakuwa poa...
  2. B

    UDOM pamechafuka Tena Leo Kwa mara ya pili

    Mabomu yamerushwa...maji ya ----- yamemwagwa...watu wameumia vibaya sana na wengine wamekamatwa...
  3. B

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) wamegoma kutokana na kukosa fedha za kujikimu

    Naibu Waziri wa afya pamoja na vyombo vya habari vimefika coed...watu wapo uwanjani wanasubiria tamko lililosemwa na Waziri mkuu
  4. B

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) wamegoma kutokana na kukosa fedha za kujikimu

    Ila kwa system hii ya Udom Leo lazma kieleweke...magari hayaingii wala hayatoki Coed...
  5. B

    Important Notice: UDOM direct cost 2014/2015

    Hii direct cost imeshabadilishwa..
  6. B

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Unaweza lipa kiasi chote cha ada iliyobakia....au ukalipa nusu ya ada iliyobakia per semister.
  7. B

    Nataka kuwa mhadhiri (lecturer) wa chuo nikimaliza shahada

    Mtu kama una GPA kubwa hata kama umetokea Udom...unapata hiyo ajira, kwani Udom ni shule ya msingi au?!
  8. B

    earn money easily while your at home

    Get easily job here. http://earn4task.com/?id=39811. Make money while your at home
  9. B

    UDOM imetoa notice ya malipo

    Direct cost ni kwa ajili ya hostel, bima ya afya na michango mingine ya chuo...ila tution fees ni ada ya course husika
  10. B

    UDOM imetoa notice ya malipo

    Batch zingine zitafata maana Udom ni chuo kikubwa na hakiwezi kuchukua watu wachache so vuta subira
  11. B

    UDOM imetoa notice ya malipo

    Direct cost unalipa yote ila ada utalipa kiasi ambacho heslb hawajakulipia..mfano umepata asilimia 100 then hutolipa ada ila direct cost utalipa yote na kama umepata asilimia 80% then utatakiwa umalizie hiyo 20% ndo usajiliwe na unaweza ukalipa 10% kwa kila semister...
  12. B

    Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15

    Watanzania tutaacha lini huu utoto...iwe Udom, udsm,teku n.k. As long as kila mtu anapata elimu na mwisho wa siku anapata ajira yake it doesn't matter...kama mtu unaona unabagua vyuo vya nchi yako kasome havard, Cambridge na Oxford ndio tutakuona wa maana na Sio kupoteza muda kuandika andika...
  13. B

    Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15

    Huna ishu ww..ungekuwa umesoma havard mayb tungekusikiliza lakini kama ni wa hapahapa excuse us hatuna muda wa kukusikiliza....
  14. B

    Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15

    Karibuni Udom...karibuni coed...karibuni ng'ox
  15. B

    TCU wametoa post tayari

    S2772/0101/2011...nichekieni guyz
Back
Top Bottom