Search results

  1. J

    Taarifa kutoka jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania (JWTZ)

    hakuna nchi yoyote ile inayoruhusu raia kuvaa sare za jeshi...kwa hiyo mnao link tangazo la jeshi na siasa nyie ndio mjiangalie kwanza hakuna siasa jeshini labda liwe jeshi lako binafsi la kisiasa......
  2. J

    Ogopeni kusoma kombi dhaifu

    huyu kijana wa Big result keshanichefua, anahitaji ushauri kwa sababu kma imetokea kafaulu apewe ushauri abaki kwao kwa bibi alime itamsaidia kwa sababu akili za kijinga namna hii mapema utapoteza fedha za wazazi
  3. J

    Ogopeni kusoma kombi dhaifu

    Dogo inaonekana una mihemko ya ujinga ndani yako... Kama walivyosema wakuu hapa huenda ulitaga, tena yai viza... Punguza mihemko yako na usirudie tena kufikiria utumbo kama huu. Kwani inaonekana unahitaji ushauri kielimu ili uelewe nini maana ya elimu na mihemko yako ya kimawazo
  4. J

    Risasi na uporaji muda huu hapa Ukonga

    Umenena yaliyo ya busara na ukweli. Watu wamekuwa wakisafirisha fedha kimazoea ile hali zipo kampuni za ulinzi na za usafirishaji fedha. Kwa mtu mwenye kufikiria vyema hawezi kukurupuka kulaumu polisi labda iwe ni mazoea tu ya kuropoka kutokana na mihemko ya ujinga
  5. J

    Risasi na uporaji muda huu hapa Ukonga

    baadhi ya watu wana uelewa mdogo sana... wanaleta siasa kwenye masuala ya kutumia akili yako mwenyewe?eti unauliza polisi walikuwa wapi?...jukumu la msafirishaji wa fedha kutoa taarifa ili kupata escort ya polisi na sio ujinga wanaofanya kubeba fedha kama mandazi ukipasuliwa za kichwa wajinga...
  6. J

    Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

    fuata mkumbo upoteee,,haKUna chadema hakuna ccm wote wapo kwa ajili ya matumbo yao,,------- KABISA......DIRTY POLITICS DIRTY PEOPLE, JIULIZE HUYO ZITTO ANGEKUWA MTU WAO WANGEMFANYIA HIVYOOO, NA HAWAKUJUA TANGU WALIVYOKUWA NAE AU,,,WATANZANIA AMKENI EPUKA SIASA CHAFU
  7. J

    Mwanasheria na Mbunge Wa Chadema Tundu Lissu Atuombe Radhi Taifa Amemdhalilisha Baba Wa Taifa!!

    i'll always prefer dictatorship to democracy.....democracy in africa is as ......and poverty in our continent....sasa hao wehu wanaozungumzia democrasia katika umaskin huu ndo wanataka kuzidi kula nchi. Matusi kwa baba wa taifa ni kuonyesha jinsi gani unaendeshwa kwa mihemko ya chama BE...
  8. J

    Jeshi la Polisi laahidi kutoa dau la zaid mil 10 kwa mhusika wa bomu Arusha.

    kuendekeza uzembe huko, jeshi la polisi linakosa intelijensia katika shughuli zake ni aibu tupu kama ingekuwa kazi ni kuhonga pesa ili kupata wahalifu basi mtu yeyote angefaa kuitwa polisi,,,,,,serikali isituchezee michezo ya kitoto ilopitwa na wakati
  9. J

    kwa wale mafundi na wauza vifaaf vya computer

    nahitaji housing ya computer aina ya fujitsu kwa wenye kuweza kupata tuwasiliane 0783446626 tujuzane bei
  10. J

    samsung chat na PC VINAUZWA

    samsung chat gt-e2222 inauzwaa bei chee 70000 ! tu na pia kuna pC USED FUJITSU HD 40 GB NA RAM 500MB BEI 200000 TU WITH ""Microsoft office,adobe,music and video players na ant virus avast 1yr ka unahitaj npo UDOM Mawasiliano 0765338964
  11. J

    Nahitaji laptop kwa bei poa

    Nahitaj laptop 'feature zake isiwe na RAM less than 1gb na pia hdd isiwe les than 80gb'mwenye nayo 2wasiliane 0765338964
  12. J

    Nahitaji laptop kwa bei poa

    Nahitaj laptop 'feature zake isiwe na RAM less than 1gb na pia hdd isiwe les than 80gb
  13. J

    Unawaonaje na nini mawazo yako kuwahusu.

    Wanasiasa wanaosema kuwa wana ushahidi dhidi ya uhalifu unaotendeka nchini kama vile ujangili ambapo mch msigwa anasema anawafahamu vigogo hawataji,zitto kutuhumu serikali kuhusika katika kuteswa kwa absolum kibada lakini hawatoi ushahdi ..je hii ni kuchezea akili ya mwananchi kuwa wanafanya...
  14. J

    PAMOJA NA JKT AWAMU YA TATU UDOM YATOA MAJINA 4th BATCH NA WANATAKIWA KURIPOTI TAR.12 MWEZI WA KUMI

    Watu wengine inaonekana wanywa gongo na viroba wamejaa akili mbovu na matusi ndo wanachojua hebu mcheki huyu anajiita michrz.
  15. J

    habari za uhakika kutoka HESLB.

    Wote hamjielewi..ukibishana na mjinga nawe utakuwa mjinga..be a great thinker just pass through THINK BIG.
  16. J

    Msaada kuhusu transfer TCU

    Ndugu zang naomba mwenye taarfa kuhusu result waliofanya transfer za vyuo
  17. J

    the best UNIVERSITY in TANZANIA

    Umejiunga jf leo wew..tumia akili kama msomi sio mada za kitoto kama hizi
Back
Top Bottom