Search results

  1. M

    Escrow Scandal: Prof Sospeter Muhongo (Minister for Energy and Minerals) resigns

    Mungu ibariki Tanzania. Hatimaye mengi kashinda, naona anaongoza nchi akiwa nje ya serikali. Anatumia pesa kufanikisha ubinafsi wake. Anataka kila kitu kiwe chake, serikali, pesa, madini, mafuta, gas, viwanda, siasa, dini, media. Hataki mtu mwingine kugusa maeneo hayo. Inabidi tumuombee atambue...
  2. M

    Bado miezi Nane waende jela

    Kuna jamaa mmoja asingekuwa upinzani ningewapigia.Nilihama rasmi upinzani pale alupoitetea mitambo chakavu kununuliwa na serikali. Leo atapinga akivuta mshiko ata support. Jamaa nilisoma nae chuo akionfea unamkubali akishakupa mgongo anafanya opposite. Sasa hivi anawachanganya chadema na ccm...
  3. M

    Ulevi wa Kina Tibaijuka, Werema na Wenzao Hauondoki Isipokuwa kwa Pingu na...

    Mimi ninaamini ccm ina madudu ndiyo lakini prof Tiba amefanya nini kibaya? Au ndo ushabiki?
  4. M

    Wapigakura wa Prof. Tibaijuka wamtosa jimboni kwake

    Mimi ni mpuga kura wa Prof Tibaijuka, sisi bado tunampenda kama mbunge wetu. Mnaotusemea mnafanya kazi bure. Subirini mwakani mpate kifafa
  5. M

    Rais Kikwete amteua Dr. Mataragio kuwa Mkurugenzi Mkuu TPDC

    Jamani huyo amefanya kazi zaidi ya kufundisha. Kwa hiyo ana experience zaidi ya kufundisha. Unahitaji vyote katika kufanya kazi experience na academic qualifications. Sema ndo hivyo anakuja kufanya kazi na wanasiasa na wafanyabiashara wenye pesa na roho mbaya. Itakuwa ngumu.
  6. M

    Wagombea wa Urais 2015...

    Mi ningechangia lakini naogopa wasije wakanimwakiembe.
  7. M

    Kikwete awalinda Mawaziri - Asisitiza waachwe, UPEPO HUU UTAPITA!

    JAMANI MPAKA SASA HIVI ZIMEPIGWA NGAPI? JUST KWA MWAKA HUU FEDHA PEKE YAKE. Nataka nifanye mchakato ili nione kama tunahitaji kuomba misaada au la?
  8. M

    Mchanganuo wa gharama ya Safari ya Rais Kikwete huko Brazil huu hapa

    kaka umesahau kuweka jet fuel, na pilots, Engineers na cabin crews? hebu fanya huo mchanganuo uongezee kwenye hiyo sub total ili tupate grand total ya hizo gharama.
  9. M

    Hawa wanafaa uwaziri mkuu Pinda akianguka...

    Mpeni Riziwani Jakaya Mrisho Kikwete. Ni kijana, damu bado changa na atapata ushauri kutoka kwa mshua.
  10. M

    CCM Dar yampiga marufuku Samwel Sitta!

    Ni bora nimuunge mkono Sitta na wapigania haki wengine ndani ya CCM kuliko kuwaunga mkono mafisadi (Rostam, Chenge, Lowassa). Mafisadi ndo wanakiua chama na si Sitta, anachofanya si sitta ni kujaribu kukiokoa chama na watanzania. wapuuzi wengine wakisha kula hela za mafisadi wanakurupuka na...
  11. M

    CCM tatizo ni Sitta na genge lake

    We umepewa hela na mafisadi nini. KAma umeshiba maharage nenda kalale sio unatuletea upuuzi hapa. Sitta ni mtuu pekee aliyewapinga mafisadi bila kuogopa sasa wewe unataka awakenulie meno huku moyoni analia kama mlivyo watz wengi!!!!
  12. M

    Kuanguka kwa CCM - Unabii Utatimia!

    who cares if CCM dies!!! the sooner they die the better, cause they are nothing but a bunch of thieves...
  13. M

    Kikwete to announce stimulus for economy

    It is so sad to see things like these happening in our poor country. The president is the one to blame, undisputable!!!. All those who are involved shall one day pay when the payback time arrives, they will never get away with it. Cause the one who fights for us is stronger than them all, and...
Back
Top Bottom