Search results

  1. Talibani

    Nifanye nini ili mbwa wangu awe mkali na abweke usiku?

    Bangi ndio jibu la uhakika....ila mpatie chanjo zote zinazo hitajika pamoja na mlo wa nguvu...
  2. Talibani

    Mnyika: The majority Political Dream

    Usimsifu sana c unajua c vijana tukisifiwa tu basi ujue ndo mwanzo wa kuaribu..
  3. Talibani

    Hivi kiingereza ni ishara ya maendeleo au ulimbikeni?

    Tena na bunge letu lianze kutumia Kingereza,mbona itakua raha.
  4. Talibani

    Mgimwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?

    Chamuhimu unatakiwa uwafariji wafiwa katika kipindi hiki kigumu walichonacho, manake hata ukijua ugonjwa huwezi mfufua.
  5. Talibani

    Hauwezi amini katoka salama

    Ok, kumbe alikua jela...
  6. Talibani

    Membe: Sitagombea Ubunge 2015... Ataka CCM ijisafishe kuelekea uchaguzi 2015

    Aisee huyu jamaa hayuko makin kama waziri wa mambo ya nje anakubali kwamba kuna watanzania wengi tu S.Sudan na haonyesh jitihada zozote wala hajui ni watz wangapi wakat nchi nyingine zinatakwimu ya raia wao walio kwama S.Sudan.
  7. Talibani

    PICHA: Zitto Kabwe afunika Mkutano wa Hadhara huko Kigoma Mjini

    Hapana, sio kwel hapa mkakat ni kuivuruga Chadema.
  8. Talibani

    Kwa watu wazima tu 35+

    Sa si ungeishia bao la kwanza tu....na baada ya hapo mlivaa nguo zipi maana zote zililowaa tepetepe....
  9. Talibani

    Sijamuelewa Edward Lowassa

    CCM na midahalo usitegemee hua wana kimbia halaf wanashinda kwasababu moja tu,wenyewe ndo waneshikilia dola (wataiba kura).
  10. Talibani

    PICHA: Zitto Kabwe afunika Mkutano wa Hadhara huko Kigoma Mjini

    Achana na mambo ya chumbani mwa watu.....
  11. Talibani

    Dr Slaa atikisa Iramba Magharibi- Singida

    Ume-declare interest kwan mna undugu nae?
  12. Talibani

    Sijamuelewa Edward Lowassa

    Kabila langu Nyerere mi nsha toka zaman kwenye ukabila.....sasa wewe sijui umetoka Rwanda,Kenya au South Sudan pole sana kwa ukabila, cha msingi fanya kazi kwa bidii na kama unasoma basi soma kwa bidii.
  13. Talibani

    Lembeli agonga mwamba kwa Kisandu

    Mbona unaharaka hivyo Lembeli juz si alikua Bungeni.
Back
Top Bottom