Search results

  1. I

    Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

    Lipeni deni. Siyo kwa vile serikali imesema. Ni wajibu wako kulipa. Hakuna cha wakati wa cost-sharing wala sijui wakati wa bodi ya mikopo. Ulisaini mkataba wa mkopo na ukaahidi kuanza kulipa miezi 12 baada ya kumaliza masomo. Sasa kelele za nini? Na huyo anayesema mbona wagonjwa hawadaiwi...
  2. I

    Kuunguruma kwa kongamano la Wanataaluma Dar: Moto wayaka!

    Mzalendo Sanctus, Usipoteze muda wako adimu hapa. Wewe endelea na mikakati yako. Mwishowe nawe utaonekana "kichaa". Kaa chonjo. Ni ushauri tu. Ila kama unao muda wa kupoteza hapa, basi endelea kujibu ....
  3. I

    Kikwete afanye nini Kuuokoa Urais wake?

    Labda umzuie asigombee kupitia chama chako mwenyewe, lakini kwa CCM, ni sawa na kupoteza muda bure kujadili kupitishwa ama kutopitishwa kwake kugombea urais. Na haya mawazo yanaonyesha jinsi gani hii nchi itaendelea kuwa chini ya CCM kwa miaka mingi ijayo, maana kama ni kiongozi bora anaweza...
  4. I

    Dr. Mwakyembe Vs. TAKUKURU

    Una uhakika hilo lilikuwa tatizo, kweli? Ndicho walichomaanisha?
  5. I

    UDSM-College of Engineering inaomba msaada

    Safari zipi zilizoifanya FoE na sasa CoET idumae kwa miongo karibu minne tangu ianzishwe. Tusitafute majibu mepesi kwa maswali magumu. Hii ni issue siyo kwa serikali tu, hata kwa hivi vyuo vyenyewe. Kama tukiwategemea wanasiasa ndiyo watufanyie kila kitu, nakuhakikishia hatutafika popote. Ni...
  6. I

    Sasa iwe Mwiko kutumia Quran na Biblia kuapa!

    Ni kwa sababu ya "Copy and Paste"
  7. I

    Je Tanzania inahusika hapa?

    Hapo nahisi wahusika ni KENYA na NATO. Kaaazi kweli kweli!! Ngoja tujue kwenye mawasiliano yake ya simu watagundua ni akina nani amekuwa akiwasiliana nao hivi karibuni. ...
  8. I

    UDSM-College of Engineering inaomba msaada

    This is the way to go CoET. Msisikilize siasa hizi zisizokuwa na kichwa wala miguu ... Miongo karibu minne ya uhai wenu, mngekuwa na maono ya mbali msingekuwa mnatega bakuli leo hii ... Sasa hii isiwe zimamoto ... mkifanikiwa, basi iwe ni endelevu. Sahau kuhusu government. Kuna wale...
  9. I

    CCM to split?

    Wakihudhuria ama wakisusa inatusaidia nini kama Taifa? Rais Karume hakuhudhuria baadhi ya matukio ya kitaifa, kelele nyiiingi. Jana kahudhuria, sijui kama Taifa tumefaidika vipi na kuwepo kwake. Sasa naona tunaanza kutafuta ni nani kakosekana kwenye tukio hilo .... kwani imeandikwa wapi kwamba...
  10. I

    Was Mkapa Wrong on This? Really?

    Na haya mashirika yaliyobaki mikononi mwa umma ni bora yakabinafsishwa kabisa maana hakuna cha maana kinachoendelea huko. Cha msingi ni kuhakikisha kwamba hayabinafsishwi kifisadi. Pili, nadhani haya mambo ya kulipana mshahara mwisho wa mwezi bila kuangalia ufanisi wa mtumishi katika kipindi...
  11. I

    70% ya Watanzania wanafata Upepo - JK

    Labda ni katika hiyo asilimia 70 aliyoisema ....
  12. I

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    Let their asses be exposed so that we know them better ... what about that!!! Lol!!
  13. I

    Sitaki tena, sipendi wampime Rais akili!?

    Lol!!! Ila na wewe ukapime akili ... siyo bure!!! lol!!
  14. I

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    Julius Kambarage Nyerere alisema kwamba ukila nyama ya mtu, utaendelea kuila tu .... sasa ndicho anachofanya Slaa.
  15. I

    Ripoti ya Jopo la Wataalam wa UN juu silaha Haramu DRC

    Hii ripoti .... Time will tell .... Sitashangaa UN yenyewe (... namaanisha UN yenyewe) ikaikana ripoti hii na ikabaki ni ripoti ya watu binafsi .... tuwe na subira ...
  16. I

    Ripoti ya Jopo la Wataalam wa UN juu silaha Haramu DRC

    Ukiisoma hii ripoti, ukairudia na kutafakari kwa kina ..... kama kweli wewe ni mfuatiliaji wa mambo, basi hii ripoti unaweza kupata chanzo chake hasa .... time will tell
  17. I

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Kivipi? Na kwani sasa hivi ni hali gani mbaya?
  18. I

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Mwisho wake ni baada ya Uchaguzi 2010
  19. I

    Kupima uwezo wa Rais Jakaya Kikwete??

    Wenye kusubiri maisha bora toka kwa wanasiasa, watasubiri sana hadi kaburini.
  20. I

    Uchaguzi serikali ya mitaa: CUF ya Pili???

    Kuna goli la kufutia machozi pia
Back
Top Bottom