Magaidi siyo waislam , Bali Gaidi ni mtu yeyote mwenye nia ya kutawala kwa kutumia vitisho( Mabavu), kuna nchi zinapigana wenyewe kwa wenyewe dhumuni likiwa kutwaa madaraka pia nao ni ugaidi.
Hawa tayari wana baadhi ya mafunzo, ndo maana hata mawasiliano yao wanatumia Daftari (ramani ) , hawatumii mawasiliano ya simu , hivyo wana A,B,c za ugaidi.
Na kufikia hiyo hatua ya kwenda huko tayari wameshajazwa sumu kwenye mioyo yao.
Huu ni utapeli Mkubwa sana, serikali inatakiwa ifuatilie suala hili ikishirikiana na lake oil , maana pa kuanzia papo , Huyo mhasibu ndo wa kuanza naye.
Kabla ya uumbaji was mwanadamu walikwepo viumbe wengine waliitwa wanefli, walikuwa watu wenye nguvu sana, Hivyo kaini alijipatia Mke kutoka kwa viumbe hao,soma kitabu cha Mwanz 6:1 na kuendelea utaelewa kuwa kulikuwa na viumbe wengine,
Kaini alipata Mke kutoka kwenye viumbe waliokuwepo waliitwa Wanefli , walikuwa na maumbo makubwaila walifanana nawanadam,Kabla ya uumbaji wabinadamu walikuwepo viumbe wengine,
Habari wana JF, Mnara wa simu mfano Vodacom unapofungwa mtaani kwenu lakini kwenye eneo linalomilikiwa na MTU binafsi, Mtaa nao unapaswa upate percent fulani kutokana na huo mnara au mtaa haupati malipo yoyote kutoka kwenye kampuni iliyoweka mnara huo?
Mwenye ufahamu juu ya hilo tufahamishane.
Mamalaka ya maji mwanza (mwauwasa) ipunguze bei za maji, kama sisi tuliokaribu na ziwa bei zinapanda harafu huduma zenu zaa mgao , kunahaja gani ya kupandisha being.
Ukweli ni kuwa mh alikuwa umeenda kwake kwenye Ranchi ya mifugo kitengule karagwe , nyumba yake anayofikia ukokaribu na barabara check point ya zamani ,alikuwa barabarani kutoka kwake kuna kusalimiana na abiria siyo kwamba ulikuwa msafara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.