Search results

  1. log10

    Ushauri, Subaru Impreza Sport 2012

    Gari nzuri .. changamoto pekee Iko chini sana
  2. log10

    Nina milioni 5 nataka ninunue IST niifanye Uber

    Kwahiyo jamaa wamewekeza kwenye app Tu wanakula hiyo hela ...kweli mjini mipango
  3. log10

    Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

    Kuna jamaa kule Twitter naona kacopy Kama ilivyo [emoji1787][emoji1787] bila hata kitana source..wakicopy makala zake anakuaga mkali Sana.. binadamu Sisi [emoji1787]
  4. log10

    Taifa stars inamalizwa na Usimba na Uyanga.. Tff tupieni macho mapema kabla hali haijawa mbaya

    Sio fair kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. log10

    TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Pumzika kwa amani binamu...ulitufurahisha sana...kuna ligi yako na matola na ile ya eiyer na khartaan...jf was amazing
  6. log10

    Sabaya: Sikumbuki kushtakiwa kwa kujifanya Usalama wa Taifa

    Mzaha mzaha hivi hivi mtu anachomoka
  7. log10

    Nashindwa kabisa kukaa na pesa, nifanye nini?

    Kifupi hela unayoipata haitoshi kuishi maisha yako na kusave, sio kwamba huwezi kutunza hela. Mimi mwenyewe wale wale mkuu. Kuna mbinu yakutumia hela kabla hujaishika inasaidia sana atleast unakua hauna hela ila una move kimaisha.
  8. log10

    East Africa's top companies in 2021 by market capitalisation

    Walevi hawapewi heshima wanayostahili nchi hii
  9. log10

    Kati ya Chunya na Ubaruku ni wapi panafaa zaidi kwa biashara ndogondogo kama mitumba na migahawa?

    Mapogoro msimu wa kupanda balaa...ila wale washenzi muda wakurudi kwao hata nauli wanakuwa hawana..kazi yakushindana na mafogo kwenye kuhonga na kula biyaa
  10. log10

    Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

    Very sad...poleni single mothers
  11. log10

    Nina tani 1.5 ya maharage ya njano mviringo ya kuuza

    Mkuu kutoka songea hadi dar ulisafirisha kilo moja kwa sh.ngap?
  12. log10

    Fuso long base shilingi ngap kuchukua kwamtu

    Kuna jamaa alivuta kwa 32
  13. log10

    Gharama kiasi gani kulisha kuku 500 wa nyama kwa Dar es Salaam mpaka kuuza?

    Kwa wastani kuku mmoja anagharimu 4500-5000...inaweza kuzidi au kupungua kutegemeana na factor mbali mbali
  14. log10

    Wasanii wa kike wa Bongo Fleva ambao walitamba kisha wakatoweka

    Kuna yule aliimba "nakuhitaji mpenzi wangu nakuhitaji" sijui cat b
  15. log10

    Najutia tukio hili: Sikuweza kumsaidia rafiki yangu akajinyonga

    Mkuu..nitarejea kueleza ...asante kwakujali
Back
Top Bottom