Search results

  1. Hardq

    Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

    Usijali wakati wa Mungu ukifika ntapukutika dunian utabaki wewe na civilized wenzio
  2. Hardq

    Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

    yaan nami nimewaza kama wewe mtu ana mpaka email adress
  3. Hardq

    Mara: Mwanafunzi agoma kwenda shule kisa hana akili

    Huyo anaakili sana kama ameweza kutambua kuwa alifanya makusudi. Pia anauwezo wa kujenga hoja kiasi hicho in genius b kabisa. Exposure kwake ndio tatizo. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Hardq

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Demiss hujambo Naona wanakushambulia kinomaa wanawake wenzio. Pole sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Hardq

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Daa nakumbuka nilivyomla mwanachuo mmoja hivi kimasihara nikiwa field mwaka Fulani huko singida. Kisa nilibishana na mshikaji kwamba sitamuweza matokeo yake alisoma namba. Anyway nahisi yupo hapa wacha niishie hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Hardq

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Next time home karagwe Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Hardq

    R I P Mr Kanyabuhula

    Poleni sana walimu wenzangu pamoja na wanafunz wa nyakahanga sekondari kwa kifo cha mzee wetu mwalmu wetu Erimelick Kanyabuhura mkuu wa shule mwanzilish nyakahanga sec aliyetutoka dunian. Tutamkumbuka kwa utendaji kaz wake na kwa mapenz yake ,hatuna budi kusema kaz ya mungu haina makosa na mungu...
  8. Hardq

    R I P Mr Kanyabuhula

    Ni ngumu sana kuamini lakini huu ndio ukweli Mkuu wetu wa shule leo hauko nasi. Anyway huyu alikuwa Mkuu wa shule Nyamongo Secondary 1997_2007 Nyakahanga Secondary 2007_2017 Chabalisa Secondary 2017-2019 January Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Hardq

    Kauli ya Waziri wa Elimu na Akili za Wafrika chini ya Jangwa chini ya Jangwa la zahara

    Mwalimu kutoadhibu ni jambo linalowezekana kwa 100% Fuatilia mwongozo huu: Mwalimu hakikisha umefika shule muda husika, simamia usafi na kama wanafunzi hawaonyeshi kushiriki kufanya usafi, tafadhali usishike kiboko. Mwalimu kumbuka muda wa vipindi ukifika hata kama mazingira ya shule ni machafu...
  10. Hardq

    Adhabu ya viboko mashuleni ifutwe; walimu wameshindwa kufuata Sheria ya utoaji wa adhabu

    Mwalimu kutoadhibu ni jambo linalowezekana kwa 100% Fuatilia mwongozo huu: Mwalimu hakikisha umefika shule muda husika, simamia usafi na kama wanafunzi hawaonyeshi kushiriki kufanya usafi, tafadhali usishike kiboko. Mwalimu kumbuka muda wa vipindi ukifika hata kama mazingira ya shule ni machafu...
  11. Hardq

    Kwa watumiaji wa pombe, ipi ndio chaguo lako!

    Za wazungu big no. Hapa mwendo wa cocktail ya gongo+lubisi pamoja na limao kidogo
  12. Hardq

    Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Halafu mtu unapambana kujisomesha unaajiriwa bodi ya mkopo wanaanza kufyeka mshahara huku wewe si mnufaika huu ni upuuzi wa hali ya juu
  13. Hardq

    Namna ya kuwa mwanaume usiyekera wanaume wenzako

    NAMNA YA KUWA MWANAUME USIYEKERA WANAUME WENZAKO. 1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako ni ushamba fulani hivi, dizaini kama hujiamini so...
  14. Hardq

    Tetesi: Prof. Kitila Mkumbo kuchuana vikali na Nyalandu jimboni

    Kumsimamisha kitila mkumbo unyaturuni ni ndoto za asubuhi
  15. Hardq

    Ziara ya Trump China, Boeing yaula

    Uncountable ndugu yangu
  16. Hardq

    Diamond Platnumz ft Rick Ross

    Next-generation
  17. Hardq

    Nafuu vunja bei electronics

    Please rubii na Stanley potezeaneni maana sio sawa kutoleana lugha chafu ndugu zangu
  18. Hardq

    Yasikie tu kwa jirani, siku nilipofumaniwa na kukurupuka na "kitasa" mkononi bila kujijua

    Next time usitaje maeneo aisee utasababisha nomaa mkuu
  19. Hardq

    Hivi Starehe hasa katika nchi za kiarabu ni zipi kama hawana hivi?

    Kafir naona unajtahidi kuchafua uislam hakika utajitahidi lakini utashindwa tuu
Back
Top Bottom