Search results

  1. M

    Mkwawa High School mpo?

    Kumbe wana mkwawa tupo wemgi sana humu ndani ya JF... Wengine hata hatukuchua vyeti vyetu, na sasa hivi ni college sijui tukivihitaji tutavipata vipi vinapatikana ifunda mi nlienda 2005 nkakipata chakwangu wanavyo vyote vimehifadhiwa jamani mnamkumbuka mwl galigo wale wa aggrey east...
  2. M

    Mkwawa High School mpo?

    duu namkumbuka mgimwa na vile vimikate tukawa tunaviita vimgimwa? jamani tuwasiliane tuwe kama tuna gathering mnajua hilo ni bonge ya skuli nakumbuka kombolela la baunsa kwa wale wa maghembe east na west
  3. M

    Ni dalili zipi zinazoweza kuonyesha mpenzi wako kafanya tendo la ndoa kwingineko?

    niongeze swali kwa wadau mtusaidie na wanawake tuwajue wanaume wakitoka kumega nje.
Back
Top Bottom