Search results

  1. Chizi Maarifa

    Ni ngumu sana kukuta wenye akili au uwezo mzuri ni mashabiki wa Simba na Yanga

    Wapo, ila ujue wanapiga pesa sana kupitia sisiemu. Shauri yako kama hujui.
  2. Chizi Maarifa

    Ni ngumu sana kukuta wenye akili au uwezo mzuri ni mashabiki wa Simba na Yanga

    Nilipogundua hili nikawa sasa naangalia faida zaidi katika kuzishabikia hizi teams. Hakuna mwenye akili anashabikia hizi teams. Au mwenye uwezo mzuri kiuchumi Ukiona hawa wenyewe uwezo wapo hizi teams ujue wapo kimaslah either kiuchumi au kisiasa. Sasa wewe bwege unaweza kaa hapo unakazana na...
  3. Chizi Maarifa

    Alarm ya mafuta kuflash

    Dogo huelewi halafu huelewi kuwa huelewi. Shell ni kampuni.
  4. Chizi Maarifa

    Dkt. Dorothy Gwajima ana kitu atafika mbali

    Nmeshamsifu. Unasemaje?
  5. Chizi Maarifa

    Dkt. Dorothy Gwajima ana kitu atafika mbali

    Kuna level sisi watu wa aina yangu tumevuka zamani sana. Nyie vilaza na maskini wa fikra ndo mnaweza fikiria. Ukisoma nyuzi zangu utagundua ni mtu independent najitegemea kifikra, kiuchumi na kiimani. Sina rafiki wala adui wa kudumu. Nina maslahi ya Tanzania ya kidumu tu. Na bahati mbaya au...
  6. Chizi Maarifa

    Dkt. Dorothy Gwajima ana kitu atafika mbali

    sure kipindi kile labda sababu ya ugeni kiukweli alikuwa kama mtu wa hovyo kumbe yupo smart. nadhani shida ilikuwa yule msaidizi wake yule alikuwa kiazi sana pengine ndo alikuwa ana mpollute huyu aunt. kwa sasa gwajima anafanya kazi kwa weledi bila mihemko kabisa
  7. Chizi Maarifa

    Dkt. Dorothy Gwajima ana kitu atafika mbali

    anatumia Id gani?
  8. Chizi Maarifa

    Dkt. Dorothy Gwajima ana kitu atafika mbali

    huwa inafanywa kimkakati ili kumfanya awe tegemezi pia kwa wenzie. wakiamini akiwa katika eneo lake alilo specialize huwezi pia mdanganya au fanya naye siasa.so anapelekwa sehemu ambayo hana ujuzi nao wa kutosha. usishangae Dr gwajima anapewa wizara ya viwanda na biashara au wizara ya ulinzi.
  9. Chizi Maarifa

    Dkt. Dorothy Gwajima ana kitu atafika mbali

    huu ni ushauri mzuri nadhani atakuja kuufanyia kazi @dr gwajima
  10. Chizi Maarifa

    Dkt. Dorothy Gwajima ana kitu atafika mbali

    Nachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa kupongezwa. Dkt. Gwajima D akili alikuwa nayo basi tu alikuwa na Naibu kilaza ambaye ameendelea kuwa kilaza...
  11. Chizi Maarifa

    Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

    Namshukuru mheshimiwa rais
  12. Chizi Maarifa

    Wajerumani na majina ya Kitanganyika

    Kwa wewe walikuachia moyo tu kwa huu uandishi wako. Hakuna ambacho wangeweza kukuachia cha maana.
  13. Chizi Maarifa

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Acha stories za kijiweni. Bila parachute huwezi pona toka futi 30,000.
  14. Chizi Maarifa

    Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

    Dogo si tupo busy sana si kama wewe unayeshinda JF. Anyway wanawake mnajuana.
  15. Chizi Maarifa

    Alarm ya mafuta kuflash

    Tanzania SHELL unaipata wapi? Wewe huna gari. Ungekuwa na gari ungejua hakuna shell tz. Usitupotezee muda
  16. Chizi Maarifa

    Mwanzilishi wa Uislamu wa Shia ni Myahudi

    M Ni kusoma tu. Sisi wengine tunasoma siyo vijana wa siku hizi wanatafuta udaku
Back
Top Bottom