Search results

  1. Ilisolokobwe

    Bodaboda kumi wafariki dunia ajali ya lori Migori, Kenya

    Hapana migori ni mbali na sirari,wanapiga tu mishe zao pale town.boda za hapa sirare zinatosha kupiga magenda japo juzi kati mmoja amepigwa risasi
  2. Ilisolokobwe

    Bodaboda kumi wafariki dunia ajali ya lori Migori, Kenya

    Aisee,na boda zilivyo nyingi pale migori.pole zao
  3. Ilisolokobwe

    Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

    Kama ni mwanaume premio is the best lakini kama wewe ni mdada nunua ist
  4. Ilisolokobwe

    Nissan Dualis: Dxf Nyingine Imewaka Moto

    Duh gari nzuri sana kumbe ni majanga .sijui nisan wanafeli wapi maana extrail nazo zina changamoto kibao
  5. Ilisolokobwe

    Geita: Aliyemuua mwalimu naye ajiua mahabusu

    Una wazimu wewe,je watokea kanda gani wewe tajiri wa fikra
  6. Ilisolokobwe

    Airtel Tanzania wamekuja na huduma ya eSIM

    Hii ya kwangu s10 5g inaonyesha hivi je itasupport esim
  7. Ilisolokobwe

    Sumsung S Ultra bei zake zikoje

    Unamaanisha nn labda maana sijakuelewa,any way ngoja nikujibu wakati huo nakuja dar mara ya kwanza stand ilikuwa kisutu una jingine
  8. Ilisolokobwe

    Sumsung S Ultra bei zake zikoje

    Unadhani nani atanunua hizo simu za gharama kama wote tutalia lia kama wewe.nina jirani yangu alinunua s22ultra kwa m2 amekaa nayo muda sasa ameniambia anaiuza anunue iphone 14 pro max ili aonje utamu wa apple pia.kwa hiyo kaka usishangae watu kununua huzo simu kubwa ,wewe ndiye huna pesa...
  9. Ilisolokobwe

    Natafuta simu nzuri kwa 250k

    Jaribu huyu mdogo wake tecno
  10. Ilisolokobwe

    Sumsung S Ultra bei zake zikoje

    Mkuu ninamaanisha s21 ultra sio 22 ultra
  11. Ilisolokobwe

    Samsung ndiye mtengenezaji wa 82% ya vioo vya iPhone

    Mkuu kusema vimeo vya samsung unamaanishà hizi A series au sio maana nyingi zinatumia mediatek
  12. Ilisolokobwe

    Sumsung S Ultra bei zake zikoje

    Nitanunua hizi za makumbusho maana nyingi wanauza below 1.5m
  13. Ilisolokobwe

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Nataka nijiridhishe nione wengine wanapata kitu gani mkuu
Back
Top Bottom