Search results

  1. Humble African

    Ni jiji lipi linampa mtu fursa ya kuanza biashara na kukua kwa biashara yake?

    Dar tayari iko oversaturated ukifungua biashara Dar kama Huna mtaji utakuwa wewe ndio mteja wa Wholesaler wale. Muhimu ni kitafuta sehemu kwenye utawala wako na kupiga hela zako huku ukikua napo. Ndio maana kuna makabila ni wafanyabiashara wazuri ila huwakuti Dar, kuna wasukuma wa kinyantuzu...
  2. Humble African

    Ni jiji lipi linampa mtu fursa ya kuanza biashara na kukua kwa biashara yake?

    Wauzaji wa jumla wao wanapata pesa saana maana wao mara nyingi hawana dead stock... yaani anakuuzia wewe pieces 300 lakini unaweza kuishia kuuza pieces 120 tu na zingine zikaharibika na kuwa dead stocks. Wauzaji wa jumla wengi wana mitaji mikubwa na umakini mkubwa hivyo risk ya kuwa na dead...
  3. Humble African

    Ni changamoto zipi umewahi kupitia ukiwa katika hali ya umasikini?

    Yule mtani wangu ni kijana wa hovyo saana. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. Humble African

    Ni changamoto zipi umewahi kupitia ukiwa katika hali ya umasikini?

    Absolutely true! Mungu huwa hachelewi anakuja kwa wakati sahihi tu. Nashukuru Mungu kilikuwa kipindi kifupi kigumu saana lakini nilijifunza mengi saana. Kwa vile nilikuwa na pesa awali hata kuomba msaada nilishindwa maana nilikuwa nawaza watu watanicheka na Mama yangu hakuwahi kujua maana...
  5. Humble African

    Ni changamoto zipi umewahi kupitia ukiwa katika hali ya umasikini?

    Nipo mzawa.. mzima wewe? Mambo tu yamekuwa mengi. Sijui hata yuko wapi siku hizi yule mtani wangu msomi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimefurahi kuona bado upo JF.
  6. Humble African

    Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

    I'm doing very fine. It's always pleasure kukuona best yangu wa dhati hapa JF. Makiwendo . [emoji257] Nimefurahia [emoji16][emoji4]
  7. Humble African

    Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

    Way back niliendaga Tanga nikanunua demu elfu 17, akaniambia hiyo hela ya gesti Bora nikalale kwake tu then nimpe yeye. Nikakubali nikampa 27. Wewe! Kumbe pale bei elekezi Huwa ni buku 7 tu... Kwa hiyo nimempa top 10 na 10 ya kwake. Nilipewa Bumbu Hadi nikasusa maana nikaanza kukojoa upepo na...
  8. Humble African

    Nunua pipi mwaka 2023

    Hakika mkuu! Nimefurahi kukuona bado upo active jamvini.
  9. Humble African

    Nunua pipi mwaka 2023

    Muulize Michael Jackson alijifanya anawapenda watoto akawa anawaleta Hadi kwake wanalala watoto Hadi 10. Aliishia kuambiwa yawezekana anawabaka watoto... Ilimsumbua Hii kesi Hadi akafariki.
  10. Humble African

    Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

    Wana option kadhaa Kuna zile za kununua mzigo kwa auction online na wanakutumia via Agent Hadi kwako... Wana legit and reputable companies za kuuza bidhaa from. If supermarket kaka Aldi na Gardenline. But sishauri saana njia hii maana sijawahi kuitumia. But njia nzuri ni kwenda physically after...
  11. Humble African

    Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

    Kwenye business it's all about ROI(Return of investment) Kuna aina ya biashara return yake after investment ni kubwa na risk yake inaweza kuwa calculated. Biashara zozote ambazo wewe ndio unapanga Bei huwa tamu saana na ndio Zina return nono. Ukituliza akili Kama una 64mil unaweza kudouble...
  12. Humble African

    Argentina National Football Team (La Selección) Special Thread

    Contigo El finalè... Vamos Argentina
  13. Humble African

    Argentina National Football Team (La Selección) Special Thread

    Bamoo.... Bamos Argentina..!
  14. Humble African

    Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

    Jifunze kucheza game za NFT.. unaweza kupata zaidi ya dola 40 kwa siku ukifika level ya intermediate.
  15. Humble African

    Jinsi ya kutengeneza pesa mpya kipindi soko la Cryptocurrency linapokuwa chini

    Kuna jamaa anatoka Ghana anatengeneza mkwanja mrefu saana kwenye NFT games.
  16. Humble African

    Jinsi ya Kutengeneza Connection za Kibiashara

    Simply best analysis lakini nashangaa Uzi hauna enough engagement.
  17. Humble African

    Waliowahi ku-order bidhaa online kupitia mtandao wa alibaba naombeni uzoefu wenu

    Mzigo ukifika Posta inabidi wakujulishe kwa sms sema wengi wavivu kufanya hivyo mzigo unakaa Hadi wiki ndio wanakutumia sms au kukupigia simu.
  18. Humble African

    Waliowahi ku-order bidhaa online kupitia mtandao wa alibaba naombeni uzoefu wenu

    Unalipia kwa apps ya malipo ya Alibaba app inaitwa alipay... Wale jamaa hata ndani ya siku 15 usipoipekda bidhaa unarudishiwa hela yako. Nawakubali saana Alipay.. bes API payment system.
  19. Humble African

    Waliowahi ku-order bidhaa online kupitia mtandao wa alibaba naombeni uzoefu wenu

    Una hata haja ya kufungua sanduku la Posta... Wewe andika address na jina la Posta unayoenda kupokelea mzigo then wao watautuma kwenye Posta husika then wewe mhusika utafuata mzigo wako kwenye Posta uliyoiandika. Sio lazma uwe na sanduku la Posta ndio upate item yako toka AliExpress...
Back
Top Bottom