Search results

  1. S

    Mwanaume kuota matiti

    wakuu inakuaje mwanaume anakua na matiti na dawa yake ni nini?
  2. S

    Tecno boom j7 vs nokia lumia

    Wakuu kwa wenye uzoefu ipi nzuri kwa matumizi ya mwanafunzi na ya kawaida na bei zake vipi kwa mwanza
  3. S

    Natafuta kazi ya Plant Operator

    Asante natuma hiyo karibu mwingine
  4. S

    Natafuta kazi ya Plant Operator

    Nipo upande wa heavy equipment excavator operator
  5. S

    Natafuta kazi ya Plant Operator

    Asante mkuu nipo mkoani huku huezi nisaidia anuani zao
  6. S

    Natafuta kazi ya Plant Operator

    msaada kwa we unayefahamu wapi nitapata kazi tajwa hapo juu niandikie kampuni zinazohitaj watu wenye ujuzi kama wangu
  7. S

    Kujifunza kirusi na kichina

    Wanajamvi wapi nitapata shule au chuo cha kujifunza lugha hizo kwa hapa Tanzania
  8. S

    Grader Vs Excavator

    Fanya kunipa namba ya chuo au ya hao madogo niwaulze vzr hata ww pia waweza nieleza
  9. S

    Grader Vs Excavator

    Kiko wap chuo na utaratibu wake wa kujiunga plz
  10. S

    Grader Vs Excavator

    asante kwa ushauri
  11. S

    Grader Vs Excavator

    Kati ya hizo ipi soko lake la ajira lipo juu na maslahi yake yako aje? na ipi inafaa kuisoma
  12. S

    Laboratory,Health record management and phamarcy ipi kozi nzuri?

    Naomba kujua ipi kati ya kozi hizo inalipa na soko lake la ajira lipo aje?
  13. S

    Natafuta chuo chenye kozi ya Health record management

    Kama unajua chuo chochote knachofundisha kozi tajwa hapo juu kwa ngazi ya cheti na diploma naomba unifahamishe kwa kuandika jina na mawasiliano kama yapo nasubiri msaada wenu wapendwa
  14. S

    Friends wa kuchat!!

    wadau kwa yeyote anayependa kchat afanye kunitext kwa 0763962571 Ful ushrikiano
  15. S

    Wapenz wa kusoma novels

    Mdau so mbaya kama utanielekeza novel ama story ambayo ni kali yenye maudhui meng hasa yanayoamsha ari ya kupiga kaz il mafanikio yawepo..
  16. S

    Mtandao wa ngono basi!!

    Nlipita miez 9 iliyopita nkaja jua juz
  17. S

    Mtandao wa ngono basi!!

    Daaah wadau last week nlpoct kugundua gal nliempita alikua na v.v.u nikajitia ujasir nikaenda chek afya npo mzima kuanzia xaxa mtandao wa ngono basi tena sitaki kbxaaaa nawashaur mkapime wadau ambao amjajua afya zenu
  18. S

    Nahisi kuuza mechi

    Nilienda uvinza kdgo
  19. S

    Nahisi kuuza mechi

    Wadau ushauri wenu nauhitaji nini nifanye baada ya kula kujamiiana na msichana ambae nimegundua ana V.V.U japokuwa nilitumia mpira sina imani. nlpga miez 6 iliyopita na nmerudia last week wkt huo nilikua cjui nmejua jana
Back
Top Bottom