Search results

  1. A

    Sakata la Makonda: Ruge wa Clouds Media ahojiwa na Polisi

    Ruge aliliripoti Polisi Oysterbay baada ya tukio. Vita ya Madawa ilikuwa ni feki na njia ya kuficha ouvu wa RC wetu. Jiulize imekuaje RC kapewa magari na watuhumiwa wa madawa ya kulevya? Ameokekana mara kadhaa kitumia magari 2 aliyopewa na watuhumiwa wake sema ndio hivyo anadhani yupo juu Sheria.
  2. A

    Rais John Magufuli: Nikisema Ukweli, Watanzania Wenye Uchungu Mtalia!!!

    Hii sinema nayo imebuma kama ilivyobuma ile ya kupiga simu Clouds kusifia Shilawadu halafu kutaka kurusha udaku kuhusu Gwajima.
  3. A

    Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Kwahiyo hao wauza ngada ndio walimfanya afoji vyeti, wakamlazimisha achukue magari yao na ayatumie kwa shughuli zake binafsi na ndio waliomwambia akavamie clouds?
  4. A

    Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Mkuu hapo hujajibu tuhuma, umetumia teknik ya ku-confuse watu. Kwa mfano katika maelezo yako Jina la 'Nchemba' hujaeleza limetokea wapi
  5. A

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Songoka, Habari Mkuu? Hili suala la mchanga kutoroshwa kwenda nje ya nchi inatakiwa uwe na uelewa wa hali halisi ilivyo naona na wewe pia wengine wanachangiaa kuwa kwa nini Tanzania inashindwa kuwa na tanuri la centigrade 1,500. Hapa kinachotokea ni watu kukosa uelewa kuhusu huu mchanga...
  6. A

    Ubunge Viti Maalum kupitia UVCCM, Mbona Walioshinda ni Watoto wa Viongozi Pekee?

    Sawa Mkuu, lakini wote ni wale wale, suala la kubebana bado lipo hapo.
  7. A

    Ubunge Viti Maalum kupitia UVCCM, Mbona Walioshinda ni Watoto wa Viongozi Pekee?

    Naishauri CCM isome alama za nyakati. Katika matokeo ya uchaguzi wa ubunge wa viti maalum kupitia VIJANA yaani UVCCM inaonesha kuwa watoto wa wananchi wa kawaida hawana nafasi ya kupata fursa za uongozi kupitia UVCCM. Kati ya majina 7 ya walioshinda nafasi hizo wote ni watoto wa viongozi wa...
  8. A

    Mama Naomi Sijaona, njoo chukua jimbo hili la Namtumbo

    Huyo Mgombea Edwin Ngonyani watu wengi wa Namtumbo wanaomuona ni mtata na mwenye kujisikia sana sidhani kama anaweza kupita.
  9. A

    Mama Naomi Sijaona, njoo chukua jimbo hili la Namtumbo

    Hongera Ndugu kwa majungu ya uongo yasiyo na kichwa wcala miguu. Kwahiyo ukienda kukaa nje ya TZ miaka mitano ukirudi utakuwa umesahau matatizo ya Tanzania?
  10. A

    Mama Naomi Sijaona, njoo chukua jimbo hili la Namtumbo

    Vita Kawawa hawezi tena kuchaguliwa huko Namtumbo wananchi wameshamchoka sana anaishi zake Mikocheni Dar anakula bata tu jimboni haonekani na bungeni kimyaaa hasikiki akiuliza hata swali. Ni dhahiri Mama Sijaona akiingia watu watampa kura zao.
  11. A

    Vita Kawawa hoi jimboni kwake Namtumbo

    Vita Kawawa ameshindwa kabisa kuendeleza jimbo lake, nilikuwa jimboni kwake mwezi uliopita jimbo lipo hoi na wananchi wamemchoka kwa kweli na wanajua kilichofanya aendelee kuwa Mbunge wao ni kubebwa kwa kuwa ni mtoto wa mkongwe Hayati Rashid Kawawa. Sijawahi hata kusikia akiuliza swali bungeni...
  12. A

    Kesi ya Tibaijuka na Sektarieti ya Maadili ya viongozi wa umma, Karimjee

    Katika deal ya Escrow kuna mambo mengi hayajawekwa wazi bado kwahiyo Huyo Mama lazina kaplay part fulani katika hiyo deal. Kwa mfano watu waliochota hela kupitia Stanbic mpaka leo hawakawekwa wazi. Haiingii akilini mtu kupewa mchango wa shule Sh. 1.6 bil. na kwanini haikuingizwa katika akaunti...
  13. A

    Kesi ya Tibaijuka na Sektarieti ya Maadili ya viongozi wa umma, Karimjee

    Kama Mama Tibaijuka anatengeneza hela kiasi hicho, naweza sema she is very stupid kujiingiza katika deal kama ile na kuharibu image yake kiasi hiki, while she was rich already.
  14. A

    Nahitaji gari dogo liwe manual

    mil 13
  15. A

    Nahitaji gari dogo liwe manual

    Nina Rav 4 manual (short chesis - 3 doors) C registration. 0719077707
  16. A

    Benki gani yaweza kunipa huu mtaji?

    Cheki na Covenant Bank for Women (CBW) ni benki inayokuja kasi, mimi nimechukua mkopo hapo last week.
  17. A

    Mchango wa sekta ya madini katika uchumi wa Taifa - Tanzania - Indaba

    Nice presentation, imejaa takwimu muhimu zinazoonesha jinsi Serikali inavyofaidika na uchimbaji wa madini tofauti na wengi wanavyofikiria. Asante Mdau
  18. A

    Dr. Kafumu ageuka kuwa mtetezi wa migodi inayotuibia mchana kweupe

    Dr. Kafumu amekuwa msemaji wa wenye migodi au?, iweje apinge data za Taasisi ya Serikali ambazo migodi yenyewe haijawahi kuzipinga, anaishia kukosoa tu bila kutoa data zake mwenyewe. kaishiwa huyu bwana, na 2015 hawezi kupita nasikia wana Igunga hawataki kumsikia.
  19. A

    Ripoti: Tanzania dhaifu kulinda rasilimali zake

    TMAA sasa yaongeza mapato mrabaha ya uchimbaji, mauzo Jumapili Mei 26, 2013 Source: TMAA sasa yaongeza mapato mrabaha ya uchimbaji, mauzo - Biashara - mwananchi.co.tz WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), umeongeza mapato ya mrabaha kwenye uchimbaji na mauzo ya madini ya ujenzi mara...
Back
Top Bottom