ya kwake hatuyajui sababu hajayaweka wazi, ukiamua kufanya maisha yako ni sehemu ya jamii tuna haki ya
kuyazungumzia-wacha isemwe wazi kwamba huyo zumbukuku hakuwa mfano sahihi ili vijana waliotamani aina ile ya
maisha wajue hakuwa role model mzuri
wakenya wako vizuri sana, pamoja na baba kupewa kipaumbele na rais pamoja na state machinery zote lakini bado anapelekeshwa na hustler, hii safi sana wananchi ndio waamue kiongozi wanamtaka sio state machinery kujiwekea watu wawatakao wao!!
Ni kweli sheria hii iliwekwa na wakoloni ili kulazimisha watu wafanye kazi na kama usemavyo kazi zilikuwepo, hivi sasa kazi hazipo lakini sheria nayo bado ipo na kwa hivi sasa inatumiwa na jamaa zetu kujipatia kipato!
muhimu tujiulize kwenye hili nani muathirika? CAG keshafanya kazi yake na kaikabidhi kwa rais, katib a inamtaka rais awasilisha ripoti hiyo bungeni ikajadiliwe-je ataiwasilisha? asipowasilisha kavunja katiba. Akiiwasilisha bunge likakataa kifanyia kazi wamevunja katiba!!
kwa suala hili...
Mi zezeta najua kuna cargo planes ambazo ndizo za kubeba mizigo na passanger planes za kubeba abiria. We mjuaji niambie kwa nini kuwe kuna hizo tofauti?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.