Search results

  1. C

    hivi bord ya mikopo inataka wanachuo waandamane kwanza ndio watoe boom?

    :-[:-DNjaa njaaa njaaaaa! Kuweni na utu basi enyi HESLB. (:-x*Hasira*¤¿)
  2. C

    Chritopher Ole Sendeka, alijikuta akilia hadharani akitetea upigaji kura ya wazi

    Siku zote PM huyu huongozwa na hisia badala ya uhalisia! Kazi ipo.
  3. C

    Wanafunzi wa Darasa la 2 kufanya Mtihani wa Taifa

    Sera mbovu na mipango ya kitoto ndivyo vyanzo vya uozo wa mambo mengi hapa kwetu Tanzania! Hivi kweli unaacha kushughulikia mizizi ya tatizo unadili na vijitawi vya tatizo?? WHAT A SHAME! Kama mitihani ndo inayofundisha haya twendeni.
  4. C

    idadi ya wanafunzi mwaka wa kwanza watakaopata mkopo

    Macho na masikio yangu kwenye hii rot system!
  5. C

    Sauti sauti sauti, jamani tuliochaguliwa st.augustine tunafungua tarehe 9/9/2013

    Tarehe ya kuripoti Saint Augustine kwa 1st year ni kuanzia tar 18/9 na si vinginevyo. Kitabu kushika hatamu kuanzia tar 24/9, hii ni kwa SAUT Main Campus hapa Ng'wanza!
  6. C

    Nacte tutoeni kimasomaso

    Jamani muwe na subira japo kusubiri nako ni bonge la mtihani!
  7. C

    Nipozeni moyo ndugu zangu wa saut!

    Nashukuru sana ndg Phillip Donie.
  8. C

    Nipozeni moyo ndugu zangu wa saut!

    Naomba mnitazamie jina langu kwani niliomba SAUT. Jina: AIDAN ELIEZA, BaEd. Nawasilisha kwa unyenyekevu wote.
  9. C

    Wale wa SAUT jitazameni hapa

    Jamani msaada wadau! Mr Stake holder na wengine, Naomba mnitazamie na mimi jina langu AIDAN ELIEZA. (Baed)
  10. C

    SAUT - Bukoba centre

    Kwani tayari na hapa?
  11. C

    Ni uduni na ufinyu wa mawazo kuvibeza vyuo vikuu vingine kwa misingi ya ubora usio wa kimantiki!

    Katika kila orodha kuna wa kwanza na wa mwisho, ndio maana kuna kitu hii 'RANKING'.
  12. C

    University of Arusha

    Jiandae kupiga root nyingi za kwenye vipindi vya dini ya kisabato kama umechaguliwa hapo! Masuala ya power hour, uamsho na usabato kwa ujumla yamejaa utadhani ni chuo cha theology completely, ada nayo si haba 1,800,000/= tuition fees tu bado mambo mengine. Hapo ni maumivu kwa kwenda mbele...
  13. C

    Umepangiwa chuo kipi na Course program ipi...?

    Muongo na Mulozi ni watu wa kuchomaaa...!
  14. C

    Kujitoa CWT

    Nimependa sana comment yako Mshirazy. Somehow helpful kwa aliyeuliza swali!
  15. C

    Mwenye tetesi za TCU

    Wanasema ngojangoja yaumiza matumbo. Jamani ni nani aliye na tetesi au habari za uhakika ni lini TCU watatoa majina ya wanafunzi wataojiunga na vyuo vikuu? Hakuna kazi ngumu kama kusubiri. Japo tetesi tu za matumaini!
  16. C

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu shule ya Msingi, kwa anayetaka kuja Bariadi toka Magu Mwanza tuwasiliane 0767270088
Back
Top Bottom