Search results

  1. D

    Naomba kujua tofauti ya kipawa na karama

    Talent and charisma?My guess,though.
  2. D

    Jamani acheni,wanawake wakinyamwezi nimewavulia kofia

    Ukimsoma vizuri utamuelewa. Amesema ni mtoto wa baba yake mkubwa (ambaye ndiye marehemu).
  3. D

    Guardiola ameiumbua E.P.L

    Hahaha!Sio kwamba nimecheka kwa furaha ila ijulikane kwamba wengine walipitia hayo pia Man City they are no exception,so to speak.
  4. D

    Tuzo ya Samatta yafutwa

    Asante,mkuu kwa darsa lako.(Una ustaarabu pia).
  5. D

    Tuzo ya Samatta yafutwa

    Afadhali unayejua umeongea.Subiri malipo yako.
  6. D

    Tuzo ya Samatta yafutwa

    Mkuu,kwa kumbukumbu zangu,jibu ni hapana.Tangu atwae hawajawashindanisha tena wachezaji wa ndani ya Afrika.
  7. D

    Tuzo ya Samatta yafutwa

    Kwa maana hiyo Mbwana Samatta anaendelea kuwa mshindi wa tuzo hiyo hadi watakapo amua vinginevyo.(This is Africa!)
  8. D

    Waziri Mwigulu Nchemba kuzindua kampeni za Chama Cha Mapinduzi ktk Jimbo la Longido

    Labda. Ila yawezekana anaandika hayo akiwa nchi nyingine... (Nawaza tu kwa sauti).
  9. D

    Guardiola ameiumbua E.P.L

    Sitaki waumie ila hayo ni maisha ya soka
  10. D

    Guardiola ameiumbua E.P.L

    Sitaki waumie ila hayo ni maisha ya soka
  11. D

    Guardiola ameiumbua E.P.L

    Kiongozi ninamaanisha majeruhi yatakayo gusa moyo wa timu :D Bruyne, Silva et al.
  12. D

    Guardiola ameiumbua E.P.L

    Mbona wakati huu timu nyingine wanaumia ila Manchester City hawaumii? Inaweza ikatokea kwao pia...
  13. D

    Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Hahaha! Usiseme hivyo ndo tunaponea humo humo...
  14. D

    Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Hahaha! Kwa nyongeza :Tutasubiria tena meli kubwa ya madaktari wa kichina!
  15. D

    Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Na tukiugua babu wa Loliondo yupo kwa msaada zaidi...
  16. D

    Arsenal vs Manchester United

    Hongera zako, umepatia mule muleeeee!
  17. D

    Arsenal vs Manchester United

    Ila wanajua kandanda...
Back
Top Bottom