Search results

  1. M

    Kenya wana katiba bora sana, angalia hii ya Bajeti ya Ikulu ya Kenya

    Sukari yao ile iliyokuwa na Sumu ikazuiwa imeingizwa sokoni. Usifurahie sana madhara utayaona karibuni
  2. M

    Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

    Mahakama Mbona haikumtia hatiani kama alikuwa Mwizi? Uliibiwa nini?
  3. M

    Askofu Benson Bagonza: Askofu Malasusa anapokea uongozi wa KKKT kutoka kwa Dk Shoo huku kanisa likigubikwa na madeni yanayotokana na ubadhirifu

    Katiba ya KKKT ni kuwa Askofu Mkuu awezi kamwe katu asilani kuingilia dayosisi yoyote. Maamuzi ya kifedha na Rasilimali ya Dayosisi ni Juu ya Askofu muhusika na sio swala la Askofu Mkuu. HATUA kubwa aliyoipiga BABA askofu Shoo ni kuakikisha kuwa Kunakuwa na katiba moja ili kuwe na uwezo wa...
  4. M

    Prof Mkenda nimekuelewa haikuwa sahuhi kupambanisha Shule za Kimataifa na Kayumba!

    Acha uvivu wa kufikiria hapa tumewawekea mkeka , Katika shule 20 bora za serikali ni tatu
  5. M

    Prof Mkenda nimekuelewa haikuwa sahuhi kupambanisha Shule za Kimataifa na Kayumba!

    Acha uvivu wa kufikiria hapa tumewawekea mkeka , Katika shule 20 bora za serikali ni tatu
  6. M

    Prof Mkenda nimekuelewa haikuwa sahuhi kupambanisha Shule za Kimataifa na Kayumba!

    Acha uvivu wa kufikiria hapa tumewawekea mkeka , Katika shule 20 bora za serikali ni tatu
  7. M

    Wakalenjini na Wakikuyu wataendelea kutawala Kenya miaka mingine 20

    Sheria ya uchaguzi ya kenya inasema lazima kuna namba of counties unatakiwa kushinda ,sio kabila lako tu. Na ukumbuke wanaza counties 47
  8. M

    Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Ruto akishinda hata biashara za Tanzania na Kenya zitayumba sana, Anahasira mingi nad he is not matured enough.
  9. M

    Ni muda muafaka serikali Ijenge Chuo Kikuu cha Afya na Tiba Nyanda za Juu Kusini

    Hiyo kanda ku na hospital kubwa ya rufaa na serikali. Imeamishia chuo kikuu cha afya ya tina cha vhuo kikuu cha dar esa salaam hapo. Na kinaendelea vizuri. Serikali imekusudia kufanya hili jema kwa ajili ya kupatia wananchi wote huduma bora za afya
  10. M

    Majaribio ya Chanjo ya Ukimwi Nchini yaleta matumaini

    Kwa dhati ya Moyo wangu ninampongeza sana Prof Lyamuya na team yake kubwa kwa kazi nzuri. Huu ni mwanzo mzuri kwa gonjwa hili hatari. Nawapongeza sana. Ila na mimi ninamapendekezo machache ya kuboresha utafiti huu kwa usalama na maslahi mapana ya taifa na watu wake, 1. utafiti huu umefanywa...
  11. M

    Hivi Maprofesa na PhD candidates wanapublish wapi paper zao hapa Tanzania?

    Ni Nimejaribu kuwa na jicho la pili, nikaona kuwa kuna kila kitu tunatizama kwa jicho hasi ili tu kuonyesha vyuo vyetu na wasomi watanzania hawafanyi chochote. Hiyo sio sahihi. Nimejaribu kufuatilia kwenye mitandao mbalimbali ya kisayansi na kuwakuta baadhi ya watanzania waking'ara kama...
  12. M

    Mtaalam wa picha za Ndege athibitisha Tanzania kununua "Terrible Teen", lakini...

    Huyo ni professor je Mwananfunzi wake si ndio ajielewi kabisa , Uongo ndio dira
  13. M

    Yupo wapi Isidore Shirima, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma?

    Kastaafu akiwa RC arusha na alikuwa anasoma MBA Mzumbe 15
  14. M

    Mifuko ya hifadhi ya jamii yaanza kujenga viwanda

    Kila tani mbili zinaajiri mtu mmoja
  15. M

    KAHAMA: Viongozi 22 wa CHADEMA wafikishwa mahakamani

    Kilimanjaro polisi wa najua wananchi awaogopi hivyo wanafyata
  16. M

    Live updates :Taifa Stars vs Misri leo tar 04:06:2016

    Tusikate tamaa, tutaenda shinda Misri, HAPA KAZI TU
  17. M

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye alazwa Muhimbili

    Mungu mjaalie mzee sumaye heri na uzima teletele
  18. M

    Mkoa wa Tabora washika nafasi ya mwisho Mtihani wa Darasa la 7

    Mbunge wao kaaamima kigamboni, jimboni anaenda kutaliii tu. Aripiga picha akiwa kwenye feri eti wananchi wanamshangaa kupanda feri. Sasa kawa naibu waziri wataisoma namba.
  19. M

    Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Graduate wa shule ya kata isiyo na mwalimu. Tuliza ubongo na vipe ushirikiano viungo vyako
Back
Top Bottom