Search results

  1. M

    Zanzibar govt restricts food sale to Mainland

    haya makubwa kabisa, kweli hii nchi sio moja kabisa, yaani kipande kimeniacha na maswali kibao said that the government arrived at the stand when reviewing decision on exportation of food items to East African Community member countries including the Mainland. sasa in maana wao wakipata shida...
  2. M

    Minister: 800,000 jobs on in 2012/13 financial year

    ok, if the defnition of job is that activity that gives someone his bread for the day!! it doesnt matter if it casual labour or proffesional work, doesn't matter if those labourers in the road and construction sectors keep on being recriuited now and again, and what about distribution of...
  3. M

    Malawi's Banda courts Tanzania President on disputed lake

    mimi bado nafikiria semi swahili academicians hivi hawa wanyasa wana maanisha nini?
  4. M

    Samatta katupia wakati Mzembe ikiitwanga Zamaleki!

    dogo ni mzuri sana kwenye finishing, basi tubahati yake mbaya kazaliwa Africa tena Tanzania
  5. M

    BIN ZUBERY sasa anavuka vipaka. Anapata kiburi wapi kusema haya.

    mimi nilisema janahapa huyu jamaa anaandika kinazi sana, akatokea mtoto hapa anaitwa Anselm nae ana u majununi uleule akaanza kumtetea, lakini haina shida wanawatumkia mabwana zao waliowatuma
  6. M

    Tujikumbushe: NANA wa Kaole Sanaa Group

    mh hii dunia kweli tambara la fujo, na mie sik zote husema iwapo mtu anapoteza akili zake kwa sababu ya mikono ya mwanadamu, asi mtu huyo anayeharibu za mwenziwe anastahili laana iliyo kuu, maana ni jambo baya sana kumfanya mwenzio azurure hovyo, aende uchi na apoteze heshim na utu wake mbele ya...
  7. M

    Mwenyeketi wilaya CDM anunuliwa na CCM, aanza kuhujumu cdm

    lakini isije kuwa ni vita vilevile ndani ya wanachadema vilivyosababisha jimbo kuchukuliwa na CCM 2010, maana walikuwapo Heche, Mwita Mwikabe Waitara na kwa mbali kambi ya Mwera, sasa isijekuwa huyo jamaa hamtaki heche anawalinda hao wengine, na kama mnakumbuka iliwahi kuwepo thread hapa kuhusu...
  8. M

    Dola elfu thelasini na tisa na laki tano_ Aden Rage

    mods tunaomba vitufe vya thumbs up na thumbs down maana huku kuna pumba nyingi zinapostiwa twashindwa kuzipuuza
  9. M

    Aiseeeee Crashwise Saint Ivuga na PrN na Co.

    sisi ndio simba, subiri ligi ianze, hawa jamaa wanatumia pesa kutuharibu kisaikolojia lakini naamini hawataweza, ya mafisango viongozi wanajua kwanini hawajapeleka hadi sasa
  10. M

    Ni kweli mbuyu twite amesajiliwa na yanga?

    ni kweli aisee, mi nimemfuatilia aka mingi iwe kwenye bngwa, mtanzania, dimba kote huko mpakakweny hii blog yake, jamaa kanywa maji ya bendera kwelikweli, halafu nshaaa dogo Anselm anamtetea
  11. M

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    waingereza wana msemo dont cross the bridge until you come to it, kama mwajua maana yake hili ndilo tulifanye ka saa
  12. M

    Wabunge 30 wa Zanzibar watetea Muungano; Wataka wasioutaka wang'atuke!

    namuonea huruma Dk. Mohammed Seif Khatib maana huyu baadhi ya wazanzibari humtukana kuwa ni m-bara na hivyo hasimamii matakwa ya wazanzibari, na siku si nyingi twaweza sikia vikaratasi vimesambazwa soko la darajani wakimtukana lakini ijapokuwa muungano wa serikali mbili ni itikadi y aCCM, si...
  13. M

    Mzee Majuto: Tanzanian Movie and Comedy Legend

    huyu babu ni noma bwana, kama wewe humpendi hulazimishwi minoitie katika jamii yoyote hawakosekani
  14. M

    Aiseeeee Crashwise Saint Ivuga na PrN na Co.

    jadili ya kwenu Azam ambapo kumbe hali ya uchumi ndio imesababisha john stewart hall kuondoka, maana mmepunguza mishahara ya wachezaji na pia wengine mumewatoa kupunguza gharama, hayo ndiyo maneno ya stewart hall akihojiwa na clouds siku ya kuvunja mkataba, akadai klabu itasajili wachezaji...
  15. M

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    jmushi i used to respect you but hapa ulipofika aidha wawatumikia watu flani au una ya kwako mwenyewe kwenye hii thread, kwa haliya kisiasa ingefaa sana, tusuiri ripoti ya uchunguzi ndio tuwe na hayo ya kumfukuza ama la, otherwise huku ni kupika mjungu, kuwagawa wanachadema na pia kuendeleza...
  16. M

    Zanzibar mulls Iranian oil tankers deregistration

    wazenji ni wabinafsi sana hawa watu, yaani wao wanajifikiria kivyao tu, yawezekana walizisajili hizo meli huku wakijua likitokea lolote itakayeulizwa na kutiwa msukosuko ni serikali ya JMT na wala sio SMZ pili hawa watu ni wanafiki sana, maana walipozisajili kwa nini hawakupandisha bendera yao...
  17. M

    Ni kweli mbuyu twite amesajiliwa na yanga?

    Nimesoma kwenye blog ya Mahmoud Zubeiry mmoja wa waandishi wa habari wanazi wakubwa wa yanga kwamba beki Mbuyu Twite aliesajiliwa na Simba toka APR amesajiliwa na Yanga, wamembadilisha uraia wake kutoka unywarwanda aliopewa kurudi Ucongo wake wa zamani, pa wanadai kasajiliwa toka FC Lupopo na...
  18. M

    TFF wametumia kigezo gani kuongeza muda wa usajili hadi Aug 15!

    nasikia yanga wamemsajili mbuyu twite wa Simba, labda hili ndilo walilokuwa wanataka
  19. M

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    hapamtani umenikumbusha mbali wacha na mie niendelee ''' sijaona manowari eeh ikipita barabarani, fimbo ooh fimbo mkononi..... dah haka kawimbo kalikuwaga katamu sana mi huwa najiuliza ukienda RTD oops sorry TBC Taifa, huwezi pata hizi nyimbo?
  20. M

    Ney wa Mitego Vs Sinta aka JLO

    na leo nimesom sehemu inadaiwa anatoka na emmanuel okwi wa Simba
Back
Top Bottom