Search results

  1. H

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Haiwezekani kukukomoa kwani hata mahakama au ustawi wa jamii wenyewe wanazingatia kipato chako kabla ya kukupangia kiasi cha kutoa matunzo. Na isitoshe kama mama anao uwezo hapaswi kupewa chochote. Na zaidi ya hayo mtoto anapokuwa ameacha kunyonya mama akikataa kukaa nae na ikiwa ana uwezo...
  2. H

    Last Week Lessons from Dubai and Geneva... are we learning anything?

    Hili ndugu wajumbe si lakulibeza, athali ipo hata kama haionekani kwa macho ya kawaida
  3. H

    Bagamoyo Airport or Extension of JKN Intl. Airport?

    kaka philemon, binafsi umenizindua usingizini...... sikujua juu ya yote haya, huu ndio umuhimu wa JF. pamoja na hayo mengine mi nilidhani ule mradi wa airport mkuranga unaendelea.
  4. H

    zimetumika!!!!

    kama kumegwa/kumega hata usingenunua angemegwa/mega. sio issue namchunia
  5. H

    Rufaa ya Babu Seya, tumuombee atoke?

    uonevu si mzura ila kama alitenda si vibaya kupata malipo ya alichokifanya.
  6. H

    Tuhuma dhidi ya JK zaikoroga CCM

    labda analipa fadhila
  7. H

    Kwanini siafiki jeshi la polisi kupewa misaada

    binafsi sioni tatizo kwa jeshi letu kupewa misaada ya vitendea kazi, kumbuka kuwa jeshi ni taasisi na si mtu fulani hivyo si rahisi kama unavyodhani kununuliwa. zaidi ya hayo kama unadhani hii misaada ni tatizo ni bora tuizuie ya nje.
  8. H

    Barabara za wenzetu, bongo na tu-njia twetu tuwili!

    lakini kaka hata wao wametoka mbali na si kwamba walianzia huko.
  9. H

    Kazi zingine ni balaa tupu

    mbona wananusana makwapa....ndio nini?
  10. H

    gudi aftanuni

    mgeni karibu.
  11. H

    Hawa ndio vijana ambao JK ataka kuwaachia nchi!

    kanda2 uyasemayo yanafanana na ukweli lakini ukiambiwa kuthibitisha utaweza?
  12. H

    Hawa ndio vijana ambao JK ataka kuwaachia nchi!

    pole sana bi Mdee, unaonekana umekwazwa sana na huyo mwana JF na mchango wake.
  13. H

    Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

    arushaaa.....yaah, inawezekana... ila nakerwa na meno yao utadhani wametafuna mavi ya kuku.
  14. H

    Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

    remmy naweza kukubaliana na wewe......ila hawa watu asilimia kubwa wako flat utadhani wanakalia matofali.
  15. H

    Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

    wana JF nilipenda kuchangia mada hii lakini nashindwa kwa sababu sijui mnatumia vigezo gani.....maana ni vigumu kama kila mtu anatumia vigezo vyake.....binafsi naweza kuchagua wazaramo kwa kuzingatia vitu fulani....
  16. H

    Un report

    kaka unakuwa kama hufuatilii habari za kisiasa, hivi unadhani serikali gani inaweza kukubali kuhusika na suala kama hilo? serikali yoyote ya wenye akili lazima watakataa pamoja kuwa hawataacha kuwachukulia hatua wahusika.
  17. H

    Ubahili kwenye ndoa

    kwani majukumu yanamlenga mtu mmoja tu
  18. H

    Mheshimiwa Rais Kikwete anaipenda Tanzania?

    saaaana kaka, Fikiria mfano mdogo tu..... tunaarifiwa kuwa hata watoto wake hawakwenda kusoma ulaya inamaana katika maisha yake ya uwaziri hakuwa na uwezo wa kuwasomesha huko? Kanakwamba hiyo haitoshi wakati yuko wizaraya mambo ya nje angekosa hata michongo ya sponsorship kutoka nchi za...
  19. H

    Bloggers waendeleza kejeli kwa Rais Kikwete

    ah! ndugu yangu kwani hufuatilii matukio mbalimbali ya kule kwa wenzetu wanaojifanya wako mbele kwa ustaarabu na mambo ya maendeleo? Kama hujafuatia basi unaweza kuanza kufuatilia na utagundua viongozi wao wanavyowakosoa kwa kupitia cartoon mbali mbali tena za kutukanisha.
Back
Top Bottom