Search results

  1. M

    Kwa nini wanawake wengi siku hizi wanazeekea makwao bila kuolewa?

    Waoaji wapo wanasubiri ajira za mama samia kwa wazazi wao🤣
  2. M

    Kwa nini wanawake wengi siku hizi wanazeekea makwao bila kuolewa?

    UKiona hawaolewi ujue waoaji hakuna,wanaume wa siku hizi ni kupenda kulelew wataoa sa ngapi? Kingine wanaume wengi uchumi mbovu wataoaje na uchumi mbovu ?!
  3. M

    Mume anapokea 1M salary kwa mwezi na mke anapokea 3M, kutakuwa na heshima kweli hapa?

    Wanaume wasio na kipato hua wanagubu sana na mali za wanawake zao msigombane kidogo utashangaa mada ya hela imeingizwa hata kama ugomvi hauhusini na hela utasikia unaninyanyasa kwa sababu unanyumba,au sababu sichangii chochote ,au sababu silipi ada za watoto ,una jeuri sababu umelipa kodi n.k...
  4. M

    Je, naweza kuhamisha mkopo kutoka Benki ya ABC kwenda benki zingine kubwa?

    Hata mimi nimeshangaa kweli wanapiga faida sana haya mabenk
  5. M

    Kujiajiri VS Kuajiriwa

    Inategemea kwakweli kwa upande wangu sijawahi kujiajiri,ila nimeshuhudia baadhi ya marafiki zangu wakifunga biashara na wengine wanapitia msoto mkali sana kwenye hizo biashara zao. Msiseme kuajiriwa hakuna faida,inategemea na kiwango cha pesa unacholipwa.
  6. M

    Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Zinakuaga na raha yake hasa ziwe za halali hazina ugomvi .
  7. M

    Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

    Kabisa ni masaa matano moro to dar mnakua mmefika shekilango ,kutokea dar moro yanaweza kua manne na nusu sababu moro hakuna foleni
  8. M

    Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

    Kwa speed ya ngapi ,acha kutudanganya hapa,sana sana utatumia matatu na hapo hujafuata speed limit ya barabarani
  9. M

    Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

    Watoe wazungu apa,wazungu hawana habari ya kutaka kuheshimiwa kama miungu mtu wanaume wa Tz ,wao wanaishi sawa wote wanajukumu la kuheshimiana. Hapa anaongelewa mbongo asiyefanya majukumu yake kama mume alafu anataka aheshimiwe ni ngumu sana.
  10. M

    Kazi ya pesa ya mwanamke ni kufanya nini?

    Hudumia wewe mwanamke alaf uone gubu la huyo mwanaume mkikosana hapo nyumbani, wanawake mlishaambiwa siku mlipoleta chakula nyumbani amani ilipotea, elewa hii,muache mwanaume afanye majukumu yake ata kama ana kipato kidogo.
  11. M

    Kazi ya pesa ya mwanamke ni kufanya nini?

    Asikwambie mtu kuna raha mwanaume wako akikihudumia kwa kiasi flani inatuongezea mapenz zaidi na kujihisi tunapendwa. Ila hapo utakuta huyo mwanaume ni kawaida yake kwenda kulala kwa bidada huku hachangii hata senti 5 kwenye kodi,bado akienda atakula bure na kuondoka bila kutoa chochote...
  12. M

    Kwa joto hili Dar sio sehemu ya kuishi binadamu

    Dar kuna fukuto kubwa sana kwa sasa
  13. M

    Unatumia mbinu gani Kuishi na mwanamke na huna hela?? Nataka Nianze kuishi na mchumba wangu wa muda mrefu ila sina hela

    Umesema kweli kabisa ,atakuvumilia mwisho atachoka,wanawake sisi ni bora tuhudumie watoto wetu lakini sio kumhudumia mtu mzima na ndevu zake ,wengi hua hawafanyi huo ujinga wa kulea marioo. Mwanamme ni bora ujitafute kiuchumi ndio uoe ,sio kukimbilia kuoa ili jamii ikuone na wewe una mke wakati...
  14. M

    Fensi ipi nzuri ya kupanda yenye ulinzi mathubuti na inayorefuka hadi mita mbili?

    Hua zinajichaji,mda wote inakua active hata kama hakuna umeme.
  15. M

    Wanaosema 'Money Can't Buy Happiness...'!

    Mimi nikiwa sina pesa najihisi mgonjwa kabisa[emoji3]
  16. M

    Hukumu ya wanaonyonya sehemu za siri

    Hukumu yao nyingine ni kupata madonda ya mdomoni a.k.a Herpes na hayana dawa ya kuyatibu
  17. M

    Hakuna mwanamke anaye penda na kuvumilia mwanaume masikini, mwanaume masikini ni mzigo mzito kwa mwanamke

    We fanya unavyoona ni vizuri kwako ,ila jua huyo sio punda aamke mapema sana na kazi zote za nyumbani afanye yeye usiku anakua hoi na bado unataka utimiziwe ipasavyo usiku !! Ndio mana hua nawaasa wanawake wenzangu wasiingine kwenye ndoa bila kua na kipato chako utanyanyasika.
  18. M

    Hakuna mwanamke anaye penda na kuvumilia mwanaume masikini, mwanaume masikini ni mzigo mzito kwa mwanamke

    Kama mnashirikiana majukumu usianze kumwambia 'wewe ni mwanaume akuheshimu',sababu najua hatakupa heshima hata kidogo mwisho utaishia kulia lia tu huko kwa washenga sijui kumbe tatizo umelianzisha mwenyewe.
  19. M

    Hakuna mwanamke anaye penda na kuvumilia mwanaume masikini, mwanaume masikini ni mzigo mzito kwa mwanamke

    Huyo mama wa nyumbani ataweza kuwaandaa watoto watatu wawahi kwenda shule asubuhi ?
  20. M

    Hakuna mwanamke anaye penda na kuvumilia mwanaume masikini, mwanaume masikini ni mzigo mzito kwa mwanamke

    Watu watakuambia mbinafsi ila mfano hata wewe uwe na mtoto wako wa kike siku akumbie anaolewa na mtu ambae hana kipato kinachoelewa utafurahi!? NDIO MANA MTOTO WA KIKE AKIPATA MCHUMBA NYUMBANI KWAO SWALI LA KWANZA LITAKUA,ANAFANYA SHUHULI GANI? ,JIONGEZE
Back
Top Bottom