Search results

  1. bht

    #COVID19 Ujanja ni kuchanja UVIKO : Dunga chanjo kama chale

    Waungwana mi nahitaji chanjo lakini isiwe ya mchina. Tafadhali kama unafahamu naweza kuipata wapi ntashukuru ukinifahamisha. (JJ, MODERNA, BioNtech, Pfizer)
  2. bht

    Hali si hali: Magufuli ana uungwaji mkono kiasi gani ndani ya chama?

    yeye ni nani kwenye hili? au ulichosoma kinahusiana vipi na akina Kinana kukaa kimya?
  3. bht

    Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    Nakuelewa mkuu, ila kuna maeneo unaweza kwenda ukazuga na gazeti ukasoma. You have to be strategic! Halafu jamani graduates hebu tusaidieni muwe mnaandika maneno yanakamilika jamani. nisingeota hata kwenye ndoto kuwa graduate anaandika vifupisho vya namna hii.
  4. bht

    Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    Hakuna kitu ninacho appreciate kama proffesinalism kwenye INGO, yaani kama ulitoka kwenye makampuni yanayoendekeza kujuana, kujiafnyia mambo bila kufata utaratibu, huku utaona uko sayari nyengine. No longolongo na shortcut. mambo yote yanafuta sheria na sera zilizopitishwa.
  5. bht

    Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    Mkuu somaga magazeti, yanatangazwa sana na Linkedin
  6. bht

    Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    Ukiomba kazi mahali, ukaitwa kwenye usahili sio uthiitisho kuwa kazi umepata. usaili ni hatua mojawapo tu ya mchakato wa ajira. msije hapa mkapotosha watu kuwa hata akiomba kazi hatapata. kuna watu tumefanya usahaili mara kadhaa na tunatoka tukijua hapa hii kazi ninayo na bado unakosa. ukiwa na...
  7. bht

    CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike

    Hao ndo wale wazee wa kukariri na kukurupuka! Tangu waaminishwe hivyo basi that shit got stuck in their dumb heads, wakilala wakiamka ni hilo tu! This ignorance sickens!
  8. bht

    CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike

    huyo fisadi aliyeko CDM serikali inashindwa kumfungulia mashtaka?
  9. bht

    NASA Kumwapisha Odinga Kama rais wa Kenya

    Sasa ataapishwa kuwa Rais kwa mujibu wa katiba ipi?
  10. bht

    Ukomo wa Mifuko Mitano Tanzania Bara ni Machi, 2018; PSPF na NSSF pekee kubaki

    Safari za JK na kuunganisha mifuko kuna uhusiano gani? watu upuuzi umewajaaa mpaka mnatia kinyaa
  11. bht

    Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

    yaani nimecheka utasema mazuri
  12. bht

    Mwanafunzi Humphrey Makundi aliyeripotiwa kupotea, apatikana akiwa amefariki na kuzikwa

    Kwa hiyo mwanangu kama 'nimedekeza' (sijui kiwango cha hilo deko umepimaje) nikimpeleka shule dawa yake wamuue?
  13. bht

    Mwanafunzi Humphrey Makundi aliyeripotiwa kupotea, apatikana akiwa amefariki na kuzikwa

    Kwa hiyo adhabu ya mtoto wa kidato cha pili mwenye bonge la simu ni kuuawa na kuzikwa kishenzi? Or what exactly was your point here?
  14. bht

    Mwanafunzi Humphrey Makundi aliyeripotiwa kupotea, apatikana akiwa amefariki na kuzikwa

    Kwani ulikuja kustarehe hapa duniani? Are you forgetting that you were once a child? unadhani wewe ulikuwa 'mtoto mtakatifu'? Kamam wewe ni mzazi au mlezi lazima unafahamu kwamba kisayansi kuna umri watoto wetu wanakuwa almost 'uncontrollable' sio kwa kupenda bali tu ni mchakato asilia wa...
  15. bht

    Irene uwoya akimbizwa hospital baada ya kupoteza fahamu.

    Kuna watu hata hujui uwaiteje, ruthless? disrespectful? ignorant? immature? kuachilia mbali klichotokea baina yao kama wanandoa, Mungu aliwapa mtoto, a bond non of them could break. Kweli mnashindwa kuheshimiana kwa ajili ya mwanenu? Yaani hii mitandao mbona imetufanya malimbukeni hivi jamani...
  16. bht

    Kinachoendelea Zimbabwe: Nchi yawekwa chini ya Jeshi, Mugabe kung'olewa?!

    hahahaaaa yaani bora kujiwazia football tu...haya mengine ni pasua kichwa! Hivi najiuliza mwenyewe, who could be 'criminals' around Mugabe that the army is targeting?
  17. bht

    Siamini kama Hamisa Kamaanisha

    vizuri mwanangu
  18. bht

    Siamini kama Hamisa Kamaanisha

    wewe ndo bora ungenyamaza au ukarudia kumsoma
Back
Top Bottom