Search results

  1. muwaha

    Kitaaluma mimi ni mwanasheria

    professional na siyo proffesional...
  2. muwaha

    DON'T LIKE if you don't see it...

    ili umuone horse geuza simu au tablet n.k upande wa kushoto.
  3. muwaha

    Nawakumbusha tuuuuu...kesho church

    wanawake ( women) na wanaume ( men); jinsia ya kike (female) na ya kiume ( male).
  4. muwaha

    Umuhimu wa GPA wakati wa kutafuta ajira

    GPA kubwa zinahitajika zaidi kwenye fani za ualimu (kufundisha), kwa kazi kama jeshi haina nafasi.
  5. muwaha

    Naomba msaada tatizo la Samsung note 3 kujizima

    Mkuu maelezo yako hayatoshelezi kugundua tatizo. ..jaribu kueleza kinaga ubaga tukusaide.
  6. muwaha

    Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

    Bwana mdogo hapo huna mke, endelea kutafuta mke! ...
  7. muwaha

    Kwanini DSTV ni ghali sana?

    Mkuu kuna vitu vingine hapa duniani vipo kwa ajili ya wenye fedha, DSTV ni mojawapo. Jamaa wale wapo kwa ajili ya ku-entartain watu wa kipato cha juu. Huduma zao ni bora hakuna mfano! Ukipata fedha tuonane multichoice.
  8. muwaha

    Maamuzi ya mwanaume wa kweli haya hapa.

    I like the decision. ..Mkuu wewe ni askari?
  9. muwaha

    Nafasi ya kazi ya Uhariri (Moderators) JamiiForums (post 6)

    Ooops!... umri na location vimeninyima kazi, vigezo vingine nimo! Kila la kheri vijana!
  10. muwaha

    Tabia gani ambazo hupendi ukiwa kwenye daladala au basi la abiria?

    ...kukaa seat ya kati ( aisle) halafu karibu yako anakuinamia mmasai akiwa kabeba dawa zake. ..full smell!
  11. muwaha

    Ni kama naota vile, siamini

    ...benteke si mchezo! That's why JF is always good.
  12. muwaha

    CHUMBA changu kinaonekana hivi leo..:::...KIROHO SAFI USINGIZI MWANANA

    siku zenu za kufurahi zinakaribia kwisha....
  13. muwaha

    Nilichojifunza na kuona leo mlimani city na VODACOM Promotion

    Jamaa walikusanya watu kumbe mzigo wote muhimu wamekomba wadosi????????????? Duuuuuuu...hakatwi mtu hapa!
  14. muwaha

    Natoa Haja Kubwa Nyingi kupita kiasi, inanitia hofu

    ...jamani wakuu mnanichekesha kwa post zenu!!!!!...punguzeni ukali wa maneno!
  15. muwaha

    New softwhere for azsky g2 and g1

    softwhere ndio wapi?
  16. muwaha

    Kilio cha jirani

    ...duuu!ina maana jamaa walipumzika kula mzigo?
  17. muwaha

    ...kitabu cha Juma na Roza!

    Thanks mkuu Skype, nitakwenda...sorry nimepitiwa tu leo ni Jumamosi, ubarikiwe sn.
  18. muwaha

    ...kitabu cha Juma na Roza!

    Habari za leo Wakuu! Naomba kufahamu naweza kupata wapi kitabu cha "Juma na Roza" ili watoto wangu nao wafaidi hadithi zake. Nipo Dar kwa sasa. Jumapili njema.
Back
Top Bottom