Nitamuuliza
1. Kwanini Benk ya Kilimo isitumike pia kuwekeza kwa vijana wanaomaliza vyuo kuwekeza katika miradi maalum itakayosimamiwa kwa program maalum bila vikwazo vya dhamana ya mali?
2. Ikiwa fedha za mikopo zimejenga madaraja ya juu na watu wanapita bure, kwanini fedha za mikopo za daraja...
Gharama za makampuni kutoa huduma ya 1GB ikoje? Kiasi gani wanapata katika 1GB? Yaani 1GB kwa mteja ni sawa na kilo moja na nusu ya mchele? Ni hatari sana. Naaomba kufahamu gharama za kampuni kutoa huduma ya 1GB
Tunashukuru kwakuwa hii habari ni fake. Hata, watu wanaolaumu tusisahau Kenya iliwahi kuwa wanazunguka mataifa kadhaa miaka ya nyuma kushawishi Tanzania isipigiwe kura kuruhusiwa kuuza Shehena ya pembe za ndovu ambazo zilikuwa ghalani
Kumbe Lijuakali huyu jamaa boya aisee. Hivi alipataje ubunge?. Nilifikiri atasema JPM kama mwenyekiti wa CCM hakuna sehemu anaweka saini ili fedha zitumike? Halafu hajui kuwa hata serikalini kuna viwango vya fedha ambazo haviwezi kutoka mpaka idhini ya Rais?.
Kwanza nikitarajia uoneshe kujirudia kwa siasa za Tanzania hususan ukilinganisha siasa za wakati huo na sasa ili tuweze kuona kwenye mizani.
Pili, umeonesha nguvu na umaarufu wa Mrema ilivyosaidia kuinua Chama chake na ukakiri nguvu yake ilivyoisha na habari ikaishia hapo.
Je, Chadema hii...
Nimeweka website ili kuwapa mwangaza wa PASS. Ila nenda kwenye news utaona tangazo kituo atamizi. Nimefuatilia tangia wamechukua vijana awamu ya kwanza na sasa najua wapo waliokopeshwa wachache, wengine wapo katika hatua maana walikuwa hawana mashamba yao binafsi. Na sasa wapo na batch ya pili...
Mkuu hapa nilikuwa nakusanya takwimu niandike suala kama hilo. Uzuri umeniwahi basi naomba nikupe pongezi kwa andiko hili.
Tunafahamu vijana wahitimu wa diploma na degree wapo wa fani mbalimbali. Lakini hizi fani zote zipo zinazoingiliana katika mnyonyoro wa thamani ambapo ukiinua wale wa...
Naona angalau wewe umeona nini kazi ya Katibu Mkuu. Ukifuatilia mikutano hii ya chadema wametoka kwenye the so called mechanical politics. Sasa nashangaa baadhi ya fans wao humu wanataja majina ya aina hiyo ya siasa. Ile nafasi ina hitaji mtu wa mipango sana na sera
Naona umeandika hisia zako au mawazo yako. Hujaweka ushahidi kwa hayo uliyoyaongea.
Hata hivyo kuna thread moja za leo mtu anajiitta johnthebaptist ameandika baada ya wiki Lisu ataambuka, Molel mbunge ambae alikuwa CCM, baadae tumeona video ya huyo Musiba akitoa shutuma kwa Lisu, wakenya,CDM...
Mkuu huwa nakukubali. Hata hivyo kuna mambo hapa hauko sawa. Ingawa nia ya kuwa mradi mkubwa ni poa kabisa. Hata hivyo
1. Umesema Mikoko: Mikoko ni moja ya mazalia na sehemu ya kula chakula ya millions ya samaki wachanga. Hivyo ni muhimu sana maana ikiondolewa mingi athai zake ni samaki kupungua...
Serikali ilifanya vizuri kuingilia mchakato. Hata hivyo, ilivuka mipaka tofauti na uwezo wake. Ilitakiwa kuishia pale ambapo wanunuzi walipatikana kwa bei ya 3000+, hapo ndipo wangenufaisha wakulima na wananchi wa kusini. Hatua walioendelea nayo haikuwa sahihi na imeleta na italeta athari kubwa...
Binafsi nimepitia part 1 na hii part 2. Nimependa. Kuna hoja hapo kuunganisha nguvu na mikakati ya wizara ya vijana, kilimo, mifugo na uvuvi na biashara nk..Itaongeza ajira kwa vijana. Badala ya nchi kukopa hell na kupeleka bank ya kilimo basi iangalie jinsi ya kutumia hizo wizara kuongeza ajira...
Mtoa mada
1. Unatakiwa uelewe jamii za samaki zinazopatikana nchi mbalimbali. Jamii(species) za vibua zinazoingizwa nchi hazipo katika bahari yetu. Sisi tunajamii nyinginezo za vibua.
2. Unatakiwa ujue hizo meli za uvuvi za nje zinavua bahari kuu na jamii ya samaki wanaovuliwa na hizo meli ni...
Wewe umeandika kishabiki haujataka kufikiria critically. Hapo ina maana mratibu wa EALA Tanzania amefeli kuunganisha wabunge wake kwa msalahi ya nchi. Hapo nchi inaonesha kabisa hakuna umoja wa vyama vya siasa na hii inawezekana kutokana na Mambo mbalimbali ya ndani huku. Sasa hapo waandishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.