Search results

  1. k-star

    NACTE Ffanyeni kazi kisasa

    Dunia ya sasa mawasiliano yanarahisha mambo ila hawa Nacte bado wapo ki zamani sana. Yani malipo nimefanya tangu tarehe 10 Feb 2022 ila mpaka sasa hakuna taarifa yeyote. Kuna uzi nilisoma humu nikakutana na comments za wadau walisema ndani ya siku mbili transcript unaipata basi nikafanya malipo...
  2. k-star

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Umeupitia uzi wote kwa siku moja mkuu ?
  3. k-star

    NACTE Ffanyeni kazi kisasa

    Mwezi wa Pili 2022 Mm na Jamaa Tulilipia Malipo ya Huduma ya Transcript kwenda NACTE ila mpaka sasa kimya. Tumejitahidi kuwapigia kupitia Namba zao Ambazo Zinapatikana ktk tovuti yao Cha Ajabu Majibu Wanajibu Kwa Dharahu Mara Sihusiki. Sasa najiuliza hizo namba kwenye tovuti yenu zipo kwa kazi...
  4. k-star

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Mbuzi wanalipa sana mkuu, nina ndugu zangu hii biashara imewatoa sana kimaisha sasahivi ukiwakuta kwenye majumba safi na ya kisasa zaidi na kila mmoja kajiwekezea mbuzi 200+ maisha safi yanaendelea
  5. k-star

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ajari Kazini
  6. k-star

    Naomba ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya Moshi cooperative University (Kizumbi campus)

    Chuo kipo shinyanga mjini . Umbali Toka Mjini mpaka chuo Ni Km 5. Ni chuo Chenye mandhali nzuri kwaujumla.
  7. k-star

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mikito Mikito weee noma nimesoma huku nacheka mwenyewe
  8. k-star

    KERO: Bayport kung'ang'ania kuendelea kunikata mkopo kinyume na mkataba

    Kuna siku nipo kitaa nakutana na jamaa afisa wa hiyo BancABC ambaye tumesumbuana nae mahakamani kaniomba hela , kwa kweli kulingana na dharau zake kipindi cha kusumbuana mahakamani NILIMNYIMA japo mfukoni nilikuwa nayo , angenifanyia fair kunihudumia ningempa hata 10000 akanywe supu maisha...
  9. k-star

    KERO: Bayport kung'ang'ania kuendelea kunikata mkopo kinyume na mkataba

    Nilienda kwa afisa utumishi nikampa vielelezo vyao nikamwambia nimeshawalipa na nakala ya malipo nikampa nikamwambia hawataki kunipa barua ya stop reduction , jamaa akanijibu kunya wakati mnafunga mkataba wenu mm sikuwepo , nenda ukamalizane naooo , nikasepa nikakomaa mahakamani nikapata haki...
  10. k-star

    KERO: Bayport kung'ang'ania kuendelea kunikata mkopo kinyume na mkataba

    Mm mwaka 2018 mwezi wa 6 niliomba kuwalipa BancABC mkopo wao , nilifatilia taratibu zote wakawa wananizingua , nikaenda mahamani kuwashitaki wakaitwa na wakakiri kweli nimeomba barua ya stop reduction , shida ikaja lini watanipa hiyo barua kila tukienda mahakama ya mwanzo wanadai mtandao hakuna...
  11. k-star

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Dondosheni basi za kimasihara wakuu
  12. k-star

    Waafrika tunarogana sana ndio maana maisha yetu magumu

    Hapo kutusua mkuu ni ngumu
  13. k-star

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mkuu nafeli wapi ? Au nitumie maujuzi ya humu na mm nilete ushuhuda wa kula kimasihara ?
  14. k-star

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Uzi kwa ambao hatujawahi kula tunda kimasihara tunakomenti wapi wakuu !!!
  15. k-star

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Uzi bora kabisa kwa mwaka ktk jukwaa letu pendwa la MMU Nimeongeza mambinu yakivita , mtaani lazima waendelee kuliwa tu kimasihara
  16. k-star

    Mwalimu alichonifanyia usiku kwenye msimu wa mvua zenye radi

    Mkuu bado unaendelea kula ile inamesaa mwenzakeee ?
  17. k-star

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    SIachi kuchungulia khali ya hewa humu. Mabaharia mmetishaa
  18. k-star

    "Aliyemshauri Magufuli kupandisha madaraja badala ya kuongeza mishahara ana akiri za kutosha"

    Hivi haya madaraja ni kuanzia ajira za mwaka gani ?? Kuna wanaosema 2014 hawapandi wametolewa na wengine wanadai mpaka 2014 wanapanda anaejua zaidi kuhusu hili naomba anisaidie nijiandae kisaikolojia mapema
  19. k-star

    Msaada: Naomba kujua namna ya kufuta channel kwenye king'amuzi

    Kama Unatumia Kingamuzi cha Azam Fanya hivi mkuu. 1: Bonyeza menu. 2; Bonyeza Digital TV. 3:Nenda kwenye Channel Manager. 4: Kisha Bonyeza OK hapo channel Manager 5: Chagua Chanel unayotaka kuifuta kisha. 6:Bonyeza button ya blue kwenye remote yako ya kingamuzi. 7:Click neno Yes. Chanel itakuwa...
Back
Top Bottom